Kuna watu hukera aisee

Dina,wewe tabu yako,unapenda myu akusifie kama hivi"He Dina?,vipi mwenzangu nbona umependeza hivoo?,daah Dina na hiyo bambataa ilivyonona, hakyanani waume utawatoa roho wewe au?"
Hapana ni mdada
 
Kabla ya kutupia nyavu ili kuuvua moyo wako lazima mtu azungushe mastori ili kujua dish ya kukubaliwa imecheza ama iko poa.

kwahiyo kama upo single vumilia vinginevyo utakuja kumegwa na waume za watu ambao ndiyo wana saikolojia ya wanawake. hivyo kuendana na mood yako wanaweza.
 
Ni mdada sio mwanaume
 
Et we ulipokua unasoma uliosoma nao wote ulikua karibu nao,wengine si mnakutana tu mnasalimiana tu basi,,sasa ye akagawa namba nikawa napigiwa na watu mi nishawasahau jamanii aliniudhiii aisee
Usikute mwenzio kila alokutana ane aliwaambia ulipo na akalazimishia kuwapa no yako

Bahati yako hakukuunga kwenye group za whatssapp na telegram
 
Hapana ni mdada
Basi sawa,lakini mbona ukaingia mitini?,nilitaka nikupeleke Tunza beach,halafu tukamalizie kule Malaika ili tukapate Tepanyaki Japanese grill na cocktail,baada ya hapo uamuzi ni wako mamii.
 
me mwanamke akija na ujinga kama huo namgeuzia kibao akijaaa tu kwmy box
Papuch kaitoa hakuna mjadala

Ila mwanaume sasa ntamuitilia tu eeeh,,aiseeee,ikawajeee,,eeeh,hyi kali

Kumbe hakuna hata moja uliloshikanisha
 
Basi sawa,lakini mbona ukaingia mitini?,nilitaka nikupeleke Tunza beach,halafu tukamalizie kule Malaika ili tukapate Tepanyaki Japanese grill na cocktail,baada ya hapo uamuzi ni wako mamii.
Twende kesho tukaogelee Eden ,pale malaika naogopa swimming pool yao ndefu halaf ipo karibu na ziwani
Na Uk umetoka lini?
 
Usikute mwenzio kila alokutana ane aliwaambia ulipo na akalazimishia kuwapa no yako

Bahati yako hakukuunga kwenye group za whatssapp na telegram
Mim zamani nilikua napendwa sana na watu nnaosoma nao sasa tushakua huwezi kua karibu na kila mtu watakuchanganya akili,na pia wengine mi nishawasahau
Basi huyo kijan kila akikutana na mtu lazima amwanbie umeoanana na flan ashakuja nina namba yake ahahah
 
Twende kesho tukaogelee Eden ,pale malaika naogopa swimming pool yao ndefu halaf ipo karibu na ziwani
Na Uk umetoka lini?
Dina,sasa naona unataka tumwage mchele kwenye kuku wengi jamanitungeyamalizia kule kule tu au?
 
Et we ulipokua unasoma uliosoma nao wote ulikua karibu nao,wengine si mnakutana tu mnasalimiana tu basi,,sasa ye akagawa namba nikawa napigiwa na watu mi nishawasahau jamanii aliniudhiii aisee
Ni kweli cyo kila mtu uliesoma nae lazima upige nae story, wengine ni salamu tu inatosha
 
Muda gani sasa unakuwa na mood ya kupiga Story???
 
Ni kweli cyo kila mtu uliesoma nae lazima upige nae story, wengine ni salamu tu inatosha
Nilipigiwa simu wewe,mi wengine siwakumbuki nilibaki kuitikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…