Kuna watu hukera aisee

Kuna watu hukera aisee

Muda gani sasa unakuwa na mood ya kupiga Story???
Kuna muda upo tu na unipe story ambazo nami naweza kuchangia bana mfano tuongelee siasa,michezo,sasa we unaanza kunisimulia formula za hesabu,mara mtihan mgumu sana kulikua naformula hii na hiii aiseee
 
Ni ndugu yangu hua ananichosha aisee kwenye story ambazo mi siku nyingine stakii kusikiaa
Lakini usijali mamii,hizo ni hormones imbalance tu?,zitapita.
Nkome,kome,kijiweni, aaarh kote huko umefika
Kote mrembo,si unajua mimi napaenda samaki sana,hasa ningu,nembe,domodomo,satu,sngara etc,etc tena grilled with lot of salads and condiments,huku nasushia kwa Jack Daniel au vipi,safari hii mpaka kieleweke.
 
Lakini usijali mamii,hizo ni hormones imbalance tu?,zitapita.

Kote mrembo,si unajua mimi napaenda samaki sana,hasa ningu,nembe,domodomo,satu,sngara etc,etc tena grilled with lot of salads and condiments,huku nasushia kwa Jack Daniel au vipi,safari hii mpaka kieleweke.
Gogo go je ,hawavutii kula hawaa aisee
 
Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,
Mi kuna muda hua napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halaf unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana
Post DELIVERED...gat it ting ting
 
Kuna muda upo tu na unipe story ambazo nami naweza kuchangia bana mfano tuongelee siasa,michezo,sasa we unaanza kunisimulia formula za hesabu,mara mtihan mgumu sana kulikua naformula hii na hiii aiseee
Yani nikae na wewe nianze kukusimulia Formula za hesabu kweli?.. Hata hainjoo.. Mi nikikaa na baadhi ya watu hata 1+1 nasahau ni ngapi
 
Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,
Mi kuna muda hua napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halaf unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana
Mbona na wewe unatuletea mboyoyo zako wengine tunastress tumenyimwa papuchi usiku huu..
[emoji35] [emoji20] [emoji35] [emoji20] [emoji35]
 
Back
Top Bottom