Kuna muda upo tu na unipe story ambazo nami naweza kuchangia bana mfano tuongelee siasa,michezo,sasa we unaanza kunisimulia formula za hesabu,mara mtihan mgumu sana kulikua naformula hii na hiii aiseeeMuda gani sasa unakuwa na mood ya kupiga Story???
Lakini usijali mamii,hizo ni hormones imbalance tu?,zitapita.Ni ndugu yangu hua ananichosha aisee kwenye story ambazo mi siku nyingine stakii kusikiaa
Kote mrembo,si unajua mimi napaenda samaki sana,hasa ningu,nembe,domodomo,satu,sngara etc,etc tena grilled with lot of salads and condiments,huku nasushia kwa Jack Daniel au vipi,safari hii mpaka kieleweke.Nkome,kome,kijiweni, aaarh kote huko umefika
Gogo go je ,hawavutii kula hawaa aiseeLakini usijali mamii,hizo ni hormones imbalance tu?,zitapita.
Kote mrembo,si unajua mimi napaenda samaki sana,hasa ningu,nembe,domodomo,satu,sngara etc,etc tena grilled with lot of salads and condiments,huku nasushia kwa Jack Daniel au vipi,safari hii mpaka kieleweke.
Karumo ni asili yetu,unawajua African Bus Services?Nkome,kome,kijiweni, aaarh kote huko umefika
Nawapenda sana mrembo,ila kama ujuavyo,sikutaka kutaja samaki wa aina zote wa Mwanza mamii.Gogo go je ,hawavutii kula hawaa aisee
Post DELIVERED...gat it ting tingKuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,
Mi kuna muda hua napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halaf unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana
Ni kampuni ya Mabasi ya enzi za miaka ya 80,sasa hivi haipo tena,wamehamia kwenye biashara ya viwanda vya mafuta mamii.Hapana lakin nawasikia tu ni nani hao
Yeh yeh i gara i gara tingPost DELIVERED...gat it ting ting
Wewe ni kutoka familia ya Mzee Mtesigwa au siyo?Hapana lakin nawasikia tu ni nani hao
Hahaaaaaa,eti amejikalia mwenyewe,kwani amefiwa?"Anakukuta umejikalia mwenyewe"
Si uyo mrembo Dinazarde hataki kupigishwa story amebaki kujikalia tu mwenyeweHahaaaaaa,eti amejikalia mwenyewe,kwani amefiwa?
Ndio ukoo wangu hao mamii.Wamefanyajee
Fine,sasa tuendelee kuleeeeee.Haya nimekupata
Yani nikae na wewe nianze kukusimulia Formula za hesabu kweli?.. Hata hainjoo.. Mi nikikaa na baadhi ya watu hata 1+1 nasahau ni ngapiKuna muda upo tu na unipe story ambazo nami naweza kuchangia bana mfano tuongelee siasa,michezo,sasa we unaanza kunisimulia formula za hesabu,mara mtihan mgumu sana kulikua naformula hii na hiii aiseee
Mbona na wewe unatuletea mboyoyo zako wengine tunastress tumenyimwa papuchi usiku huu..Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,
Mi kuna muda hua napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halaf unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana