Kuna watu hukera aisee

Kuna watu hukera aisee

Dah...kwani siwezi kuwa na wote?

Mi nawachagua wote na nna mpango wa kuongeza[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hehehehehehe acha uroho chagua moja au unaona aibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani usiombe uwe off mood alafu mtu ndio katune story mode, mie huwa naitikia tu 'haya' hata kama haviendani, tafanyaje sasa na ndio sijisiii kumsikiliza.
 
Wewe ni bebi wangu mpaka kifo kitapotutenganisha....

Mi kwako ni mtamu kama wale kuku nawe kwangu ni mtamu kushinda sukari guru.

Dina Ngabu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Angalie vale atakufa na wivu,anataka awe peke ake tu,mi nishamuambia we huwezi niacha akabishaa cc Valentina
Ngabu Dina
 
Yaani usiombe uwe off mood alafu mtu ndio katune story mode, mie huwa naitikia tu 'haya' hata kama haviendani, tafanyaje sasa na ndio sijisiii kumsikiliza.
Eeehee we ndio unajua yaan wewe ndio mimi sasa
 
Dina beibeeee[emoji8] [emoji8] [emoji8]

Ulivo mtamu hivo nikuache?

Thubutu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nasema sikuachi nakaba mpaka penati kwa utamu wa nanasi naufyonza mpaka basiii
 
Back
Top Bottom