Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
My Muree....ati we wanakuita nani?Nyooo....
Muone vile
Wewe ni bebi wangu mpaka kifo kitapotutenganisha....Hahahahaha acha kutesa wenzio
Kwani siwezi kuchagua wote?Hehehehehehe acha uroho chagua moja au unaona aibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalie vale atakufa na wivu,anataka awe peke ake tu,mi nishamuambia we huwezi niacha akabishaa cc ValentinaWewe ni bebi wangu mpaka kifo kitapotutenganisha....
Mi kwako ni mtamu kama wale kuku nawe kwangu ni mtamu kushinda sukari guru.
Dina Ngabu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Dina beibeeee[emoji8] [emoji8] [emoji8]Angalie vale atakufa na wivu,anataka awe peke ake tu,mi nishamuambia we huwezi niacha akabishaa cc Valentina
Ngabu Dina
Alafu ukute vitu vyenyewe anavyoongea hata hauna interest navyo ndio kabisaaaaa!!Eeehee we ndio unajua yaan wewe ndio mimi sasa
Ha haa si anaongea tu apa ila jeuri yake haina nguvu kiviiileUmeona eee huyo uliesema hana jeuriii
Hataki kuachia
Hebu nambie my NzagambaMy Muree....ati we wanakuita nani?
Nikwambie kitu my Muree....
Bossman uko standoffish?
Wanakuita Muree...Hebu nambie my Nzagamba
Ahahahaaa....utawararua rarua eeh....Mi nasema sikuachi nakaba mpaka penati kwa utamu wa nanasi naufyonza mpaka basiii