Una wivu kumzidi alomzaa umuwachee
Naanzaje sasa kumuacha ngosha wangu?Una wivu kumzidi alomzaa umuwachee
Aah kuleni tu mkimaliza muoshe vizuri rungu hilo nami nilitumie....Hhheeee wenzio wala taratibu [emoji23]
umependa nini?Nimependa tu hapo kwenye formula za hesabu.
He hee kutangulia sio kufika lakiniInabidi wivu uukate sasa usijeishia liona hilo rungu jf tu wenzio wanalila live[emoji23]
Kikubwa ni kufika hata kwakuchelewa[emoji108]Unaweza kufika lakin ukawa hujatangulia [emoji23]
Sasa kama hapa mawazo yangu yapo kwingine kuna mtu apa ananisemesha semesha tu mpaka naona kero yaninoma sana huyo akija tuu natembea na yesu