Kuna watu humu Jf wanaandika uzi mpaka unajiona akili yako ndogo sana

MwaMlawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2026
Posts
446
Reaction score
1,005
Zipo nyuzi za kawaida ambazo unasema hii hata mimi nikitulia naweza

Ila duuuu
Unakutana na uzi iwe trending au new post unaamua kusoma

Unavutiwa na content hata iwe ndefu vipi unaimaliza

Unagundua imetumika akili kubwa sana kuandika mpaka unajiona bado sana (japo unakili ndani ya nafsi kimyakimya )


Hii ni mimi tu au tupo wengi wakuu
 
Experience matters,
Kuna watu wapo tangu inaitwa jamboforums, sitaki kujua ulikuwa wapi but lzm kuwe na tofauti!
 
Ukiwa busy sana hata kuandika uzi mrefu unaona karaha. Unaishia kuandika sentensi moja au mbili. Haina maana huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…