Kuna watu humu Jf wanaandika uzi mpaka unajiona akili yako ndogo sana

Kuna watu humu Jf wanaandika uzi mpaka unajiona akili yako ndogo sana

Zipo nyuzi za kawaida ambazo unasema hii hata mimi nikitulia naweza

Ila duuuu
Unakutana na uzi iwe trending au new post unaamua kusoma

Unavutiwa na content hata iwe ndefu vipi unaimaliza

Unagundua imetumika akili kubwa sana kuandika mpaka unajiona bado sana (japo unakili ndani ya nafsi kimyakimya )


Hii ni mimi tu au tupo wengi wakuu
Dunia hususani ya Afrika inahitaji wanaoweza kubadilisha mawazo kuwa matendo. Tuna watu wengi sana wenye uwezo wa kuandika mambo magumu na yenye kufikirisha kwa kina lakini kuna changamoto ya kuyabadili maandishi kuwa vitendo.

Tubadilike. La sivyo tutaendelea kuita maji mma.
 
Ungeikuta jf ya kitambo kipindi hicho gen z bado wapo kwenye karanga ndio ungeogopa hata ku log in
 
Ungeikuta jf ya kitambo kipindi hicho gen z bado wapo kwenye karanga ndio ungeogopa hata ku log in

Kuna wakat saver inatema kidogo madini kwenye simila disc. Kuchek mwaka unakuta 2007 duu unaishia kusinzia na cm mkonon mkuu
 
Dunia hususani ya Afrika inahitaji wanaoweza kubadilisha mawazo kuwa matendo. Tuna watu wengi sana wenye uwezo wa kuandika mambo magumu na yenye kufikirisha kwa kina lakini kuna changamoto ya kuyabadili maandishi kuwa vitendo.

Tubadilike. La sivyo tutaendelea kuita maji mma.

MKUU UMENENA VEMA KUNA HAJA YA KUWARUDISHA MAPPOFESA WOTE JALALANI MAANA PAMOJA NA MAANDISHI YAO MAKUU WAMEPEWA VYEO WAMEYAKANA. warud tu jalalan maana huko waliko inji inapoteza rasilimali
 
Back
Top Bottom