Dunia hususani ya Afrika inahitaji wanaoweza kubadilisha mawazo kuwa matendo. Tuna watu wengi sana wenye uwezo wa kuandika mambo magumu na yenye kufikirisha kwa kina lakini kuna changamoto ya kuyabadili maandishi kuwa vitendo.Zipo nyuzi za kawaida ambazo unasema hii hata mimi nikitulia naweza
Ila duuuu
Unakutana na uzi iwe trending au new post unaamua kusoma
Unavutiwa na content hata iwe ndefu vipi unaimaliza
Unagundua imetumika akili kubwa sana kuandika mpaka unajiona bado sana (japo unakili ndani ya nafsi kimyakimya )
Hii ni mimi tu au tupo wengi wakuu
Ukiwa busy sana hata kuandika uzi mrefu unaona karaha. Unaishia kuandika sentensi moja au mbili. Haina maana huna akili.
Ungeikuta jf ya kitambo kipindi hicho gen z bado wapo kwenye karanga ndio ungeogopa hata ku log in
Dunia hususani ya Afrika inahitaji wanaoweza kubadilisha mawazo kuwa matendo. Tuna watu wengi sana wenye uwezo wa kuandika mambo magumu na yenye kufikirisha kwa kina lakini kuna changamoto ya kuyabadili maandishi kuwa vitendo.
Tubadilike. La sivyo tutaendelea kuita maji mma.
Sana
Ila pia sio mbaya ku admit kupitwa...from there ndo unajitafuta na wwComparison kill confidense....
Note hiyo mkuu!!!