Kuna watu humu wanaandika kama wako ndotoni, nahisi wametumwa wanalipwa elfu tatu

Kuna watu humu wanaandika kama wako ndotoni, nahisi wametumwa wanalipwa elfu tatu

😂😂😂 wanasiasa sio watu, ata ukiwa ndan ya chama kimoja sio kwamba mnapendana sana hapana tunatafutiana timming tu, kuna wengine mpaka wanaumizana hao ndo wanasiasa, sio ajabu magu aliconfess alipewa sumu ndo maisha yako ivo
Kweli, lakini madai ya watanganyika lazima yafanyiwe kazi ili Kila mtu aishi Tanganyika kwa uhuru.

Hatupiganii maisha ya mtu mmoja mmoja/wanasiasa, bali ya wananchi wote kwa ujumla.
 
Kweli, lakini madai ya watanganyika lazima yafanyiwe kazi ili Kila mtu aishi Tanganyika kwa uhuru.

Hatupiganii maisha ya mtu mmoja mmoja/wanasiasa, bali ya wananchi wote kwa ujumla.
kinachopiganiwa ambapo mpaka ccm tunasupport ndan ni katiba na ameshasema sku 100 za kwanza, hayo mengine ni fujo tu amna cha zaidi
 
Kuna fedha zitamwaga ili wana SISIEMU wafanye maandamano wakiwa na mabamgo ya kumpamba ionekane anapendwa.

Naamini Gen Z hawatawaacha salama!
Labda wawe wanatembea nao kwenye magari ,yaani mfano wakishamaliza kuandamana Arusha waondoke nao waende nao mahali kwingine siyo wakutokea kwenye hii mitaa yetu aisee watawaponza watoto wa watu ,kwanza naamini hakuna atakaethubutu.

Bro kitaa tunaghadhabu zetu tu ooh! Watu watagongwa hata nyembe za sumu na hawataamini
 
Wakuu,

Aminini kuwa Kuna members wanaugua ugonjwa wa akili kiasi cha kutetea huu uchafuzi uliofanyika October 29.

Natumai hawa ndio wale ambao usiku wakilala wanaota wanataga mayai ila asubuhi wakiamka wanakuta wamejinyea.

Haya ni mawazo yangu tu, na simpangii mtu Cha kuandika mtandandaoni.

gallow bird
Lucha
Shammy-

Irodha ni ndeeefu!
Natumai hawa ndio wale ambao usiku wakilala wanaota wanataga mayai ila asubuhi wakiamka wanakuta wamejinyea.🥺🥺🥺😂😂😂
 
Back
Top Bottom