Kuna watu humu wanaandika kama wako ndotoni, nahisi wametumwa wanalipwa elfu tatu

Kuna watu humu wanaandika kama wako ndotoni, nahisi wametumwa wanalipwa elfu tatu

Natumai hawa ndio wale ambao usiku wakilala wanaota wanataga mayai ila asubuhi wakiamka wanakuta wamejinyea.🥺🥺🥺😂😂😂
😂😂😂
 
ni kwel lakini sheria inasema, ukitaka kufanya maadamano kachukue kibali, maaana yake utapewa ulinzi wa polisi ila hawa wamejichukulia sheria mkononi

lakini kingine ni, haya maadamano watu walihamasishana kwamba tusiwe na uoga na kufa, ivi kweli, utakua mzembe kiasi gan weww kujitoa uhai wako, una wazazi, watoto, ndugu

ivi umejishusha kiasi gan eti kujitoa uhai ili eti samia asishinde uchaguzi ivi umejishusha thaman kiasi gan? ndo maaana nkasema waliokufa kwenye maadamano wali deserve, mfano kenya, 2007 walikufa watu 2000 eti ili katiba mpya ipatikane, leo hii hao waliokufa hayo matunda wanayapata vp? majina yao yako wap? familia zao je?
Wee umetumwaaa? Tutolee upuuzi wako.
D9 tuko lelele barabaraniiiii. Hatupoi wala hatuboi.
 
Back
Top Bottom