KingJoh
Member
- Oct 20, 2019
- 12
- 11
Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara umefanya vile, yaani kiufupi amekuwa ni mtu wa kuulaumu uongozi kila siku hasa CEO wa Simba mwanadada Babra Gonzalez ambaye kwa sisi tunaoishabikia Simba tunaona anapiga kazi kubwa sana pale Simba.
Yeye anakuja na issue za uchawiuchawi tu, kuhusu reality kwny football hataki kabisa kugusia mafanikio ya huyo mwanadada na uongozi kwa ujumla.
Ifike mahali bwana Gentamycine na wengine kama yeye watwambie ni nn uongozi wa Simba uliwakosea?? It looks like bwna Gentamycine amenyimwa ulaji pale Simba, lakini kama wanakukera, si uhamie hata Yanga?? Mbona mwenzako manara yuko Yanga na maisha yanaendelea kama kawaida??
Simba ina mashabiki wengi sana, ikipoteza mashabiki 10000 kama kina Gentamycine itakuwa ni afya kuliko kukaa nao. Ni watu ambao wanataka waonekane kwmba wanafanya kitu kwa ajili ya Simba, wakinyimwa nafasi hyo, wanaanza vita na uongozi uliopo.
Ukimsikiliza Gentamycine kuhusu Uongozi wa Simba, utadhani pale Simba hakuna kinachofanyika kabisa. Lakini kwa wanaoona yanayofanyika wanamsapoti CEO wa Simba. Hata yanga hao watu wapo, kinachotakiwa ni kuangalia timu inafanya vizuri au iko vibaya??
Sisi Simba hatuwezi tukawa Mabingwa kila msimu, lazma tu na wènzetu watatuzidi nguvu kpindi fulan, sasa ukiona hvo mtu unaanza kupanic et uongozi umefanya uzembe, no hyo no football.
GENTAMYCINE JIREKEBISHE