Kuna watu humu wanajulikana kama mashabiki wa simba lakini hawaisemei vizuri timu yetu

Kuna watu humu wanajulikana kama mashabiki wa simba lakini hawaisemei vizuri timu yetu

Huyo jamaa ni wa kumpuuza tu, kichwani kwake hakuna kitu. Hakuna kitu alichowahi kusema kikatokea kweli. Ni kama huwa ananusa kitakachotokea ili apate mada ya kuja kuzungumza, bahati mbaya yote hayajawahi kuwa upande wake
Mnanichukia Kutwa halafu bado mnanisoma tu hapa JamiiForums sasa Mimi na Nyie nani ni Mpumbavu na Mwendawazimu?

Kunichukia Kwenu ndiko mnaniimarisha.
 
Jibu TUHUMA acha kubweka mzee,Wenzio wamekustukia na soon watakutenga rasmi dadekiii🤣🤣🤣🤣
Kweli GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ni Habari ya Mjini.

Jiandae kuambiwa hii ID yako ni Mimi ( yangu ) na nimeanzisha huu Uzi ili Kujisifia na Kutafuta Umaarufu hapa JamiiForums.
 
Asante na Shukran kwa hizi 'Sincere Credits' zako Kwangu na Ubarikiwe kwa Kuiona Tunu ( Shani ) Kubwa ya Baraka iliyo ndani yangu ambayo Nimezawadiwa nae Mwenyezi Mungu.

Hata hivyo nakuonya tu Mkuu kwa huku Kunisifia Kwako ( ambako nina uhakika ) kuwa Kumewakwaza 85% ya Wapumbavu wengi Wanaonichukia hapa JamiiForums tegemea kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi ( yangu ) GENTAMYCINE na hapa nimeandika ili Kujjsifia ( Kujimwambafai )

Ukitaka ukubalike nao Wewe nidhihaki.
Ubongo mwembamba sana
 
Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara umefanya vile, yaani kiufupi amekuwa ni mtu wa kuulaumu uongozi kila siku hasa CEO wa Simba mwanadada Babra Gonzalez ambaye kwa sisi tunaoishabikia Simba tunaona anapiga kazi kubwa sana pale Simba.

Yeye anakuja na issue za uchawiuchawi tu, kuhusu reality kwny football hataki kabisa kugusia mafanikio ya huyo mwanadada na uongozi kwa ujumla.

Ifike mahali bwana Gentamycine na wengine kama yeye watwambie ni nn uongozi wa Simba uliwakosea?? It looks like bwna Gentamycine amenyimwa ulaji pale Simba, lakini kama wanakukera, si uhamie hata Yanga?? Mbona mwenzako manara yuko Yanga na maisha yanaendelea kama kawaida??

Simba ina mashabiki wengi sana, ikipoteza mashabiki 10000 kama kina Gentamycine itakuwa ni afya kuliko kukaa nao. Ni watu ambao wanataka waonekane kwmba wanafanya kitu kwa ajili ya Simba, wakinyimwa nafasi hyo, wanaanza vita na uongozi uliopo.

Ukimsikiliza Gentamycine kuhusu Uongozi wa Simba, utadhani pale Simba hakuna kinachofanyika kabisa. Lakini kwa wanaoona yanayofanyika wanamsapoti CEO wa Simba. Hata yanga hao watu wapo, kinachotakiwa ni kuangalia timu inafanya vizuri au iko vibaya??
Sisi Simba hatuwezi tukawa Mabingwa kila msimu, lazma tu na wènzetu watatuzidi nguvu kpindi fulan, sasa ukiona hvo mtu unaanza kupanic et uongozi umefanya uzembe, no hyo no football.

GENTAMYCINE JIREKEBISHE
GENTAMYCINE hoyee
 
Huyo jamaa mwanzoni nilijua bonge la mtu kumbe kiaz mmoja alafu mshamba mshamba fulan anayetaka kujifanya mtoto wa mjini kumbe ni zee la umbwindeni huko mara
 
Jivunieni kuwa nae mtu anaye kosoa na kushauri huyo syo mtu mbaya

Watanzania mmezoea kusikia mazuri TU masikioni mwema changamoto kidogo TU MNAMUONA mpinzan

Ushauri gani unaosema ule wa kuagiza vitu vya Kishirikina ili avifanyie kazi Simba SC ishinde..!

Hivi hujui kukosoa ni kitu rahisi tu
 
Back
Top Bottom