Kuna watu hupaswi kujibizana nao kwani wewe ndio utaonekana mjinga Na kupoteza heshima

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana.

Kuna watu furaha yao ni wewe kuvurugwa ili mfokeane hivyo kwa namna mbalimbali watakuchokoza ili mjbizabe na hiyo ndio furaha yao sasa watu wa namna hiyo ni kuwapuuza tu.

Kujibizana na mtu ambaye ndivyo alivyo ni kupoteza tu muda wako na heshima yako pia kwa sababu ataumia zaidi ukikaa kimya na atafurahi zaidi UKIJIBIZANA.

Heshima yako inajengwa mdomoni pia hivyo lazima ujue ni wakati gani unatakiwa kujibu na mtu gani anastahili kusikia majibu yako sio kila mtu maana wengine walisharugwa hivyo wakati wote wanataka vurugu tu hivyo ukiingia kwenye mfumo wewe ndio utaonekana kituko kuvurugwa na aliyevurugwa.

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
 
20250501_100330.png
 
Watu wa kwanza ambao hupaswi kujibizana nao ni wanawake

Hawa viumbe huwezi kuwashinda mdomoni, ni vyema kuwasikiliza na kuonyesha kuwa umeguswa na kile wanachokilalamikia bila kuwapa suluhisho au ushauri yaani unaonyesha tu kuwa umeguswa halafu waache wateseke

Ukifanya hivyo utajua siri nyingi za kwake na za majirani huwa wanaropoka kama wendawazimu yaani anaanza kufunguka jambo A kisha anahamia jambo B kisha C yote hsyo hayana uhusiano

Ila uvumilivu unahitajika

Watu wengine ni wanaume wenzetu wanao ongea sana ambao hujifanya wanajua kila kitu huku maisha yakiwa yamewapiga za uso hao watu wapo vijiwe vya kahawa wao hujua kila kitu

.”
PRINCIPLE 1
The only way to get the best of an argument is to avoid it.
 
Nilojifunza asee ukimya ni moja kati ya psychological torture mbaya sana ukiweza kuitumia vyema dhidi ya mpinzani wako..Na mbaya zaidi inawachapa wanawake waropokaji in a hard way. Yaani mfano mtu akukosee na anajua yeye ana makosa halafu ategemee utaongea,unaamua kukausha kama hakuna kitu,, hii hali huwa inawatesa sana kisaikoljia
 
✍️
 
Kabisa
 
Kuna Mzee hpa mtaani ni hopeless kabisaa yni ndo vile watoto wake ndo marafiki zetu ila ni hopeless kabisaaa hafai haswaa
 
Nilojifunza asee ukimya ni moja kati ya psychological torture mbaya sana ukiweza kuitumia vyema dhidi ya mpinzani wako..Na mbaya zaidi inawachapa wanawake waropokaji in a hard way. Yaani mfano mtu akukosee na anajua yeye ana makosa halafu ategemee utaongea,unaamua kukausha kama hakuna kitu,, hii hali huwa inawatesa sana kisaikoljia
UKIMYA ni jibu kuu.
 
Mkuu mbona wewe unaonekana upo kwenye kundi la umri ambao vitoto vya 2000, wanasema hao older Uncle's they don't know how to argue, lakini bado unabishana nao.

Nipo kwenye lile kundi ambao ubishani ukianza naambiwa nina dharau, sababu majibu ni;
Sawa,
hakuna shida,
Nakubaliana na wewe au nakaa kimya
 
Back
Top Bottom