Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Kuna muda unaweza kutamani kumjibu ukidhani unalinda heshima yako kumbe ndio unaipoteza kabisa kwa sababu watu wataaanza kukushangaa kujibizana na aliyeshindikana.
Kuna watu furaha yao ni wewe kuvurugwa ili mfokeane hivyo kwa namna mbalimbali watakuchokoza ili mjbizabe na hiyo ndio furaha yao sasa watu wa namna hiyo ni kuwapuuza tu.
Kujibizana na mtu ambaye ndivyo alivyo ni kupoteza tu muda wako na heshima yako pia kwa sababu ataumia zaidi ukikaa kimya na atafurahi zaidi UKIJIBIZANA.
Heshima yako inajengwa mdomoni pia hivyo lazima ujue ni wakati gani unatakiwa kujibu na mtu gani anastahili kusikia majibu yako sio kila mtu maana wengine walisharugwa hivyo wakati wote wanataka vurugu tu hivyo ukiingia kwenye mfumo wewe ndio utaonekana kituko kuvurugwa na aliyevurugwa.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
Nilojifunza asee ukimya ni moja kati ya psychological torture mbaya sana ukiweza kuitumia vyema dhidi ya mpinzani wako..Na mbaya zaidi inawachapa wanawake waropokaji in a hard way. Yaani mfano mtu akukosee na anajua yeye ana makosa halafu ategemee utaongea,unaamua kukausha kama hakuna kitu,, hii hali huwa inawatesa sana kisaikoljiaWatu wa kwanza ambao hupaswi kujibizana nao ni wanawake
Hawa viumbe huwezi kuwashinda mdomoni, ni vyema kuwasikiliza na kuonyesha kuwa umeguswa na kile wanachokilalamikia bila kuwapa suluhisho au ushauri yaani unaonyesha tu kuwa umeguswa halafu waache wateseke
Watu wengine ni wanaume wenzetu wanao ongea sana ambao hujifanya wanajua kila kitu huku maisha yakiwa yamewapiga za uso hao watu wapo vijiwe vya kahawa wao hujua kila kitu
Kaka mimi mwenyewe ndio nampango wa kuwa taahira wa ccm na wewe unaacha kujibizana ,nitakula wapi mimi sasa mkuu?Nimeanza kujizuia kujibizana na haya mataahira ya CCM
Pale lumumba ukiwakabidhi ubongo wako wanakulipa elfue7 kila siku πKaka mimi mwenyewe ndio nampango wa kuwa taahira wa ccm na wewe unaacha kujibizana ,nitakula wapi mimi sasa mkuu?
βοΈWatu wa kwanza ambao hupaswi kujibizana nao ni wanawake
Hawa viumbe huwezi kuwashinda mdomoni, ni vyema kuwasikiliza na kuonyesha kuwa umeguswa na kile wanachokilalamikia bila kuwapa suluhisho au ushauri yaani unaonyesha tu kuwa umeguswa halafu waache wateseke
Ukifanya hivyo utajua siri nyingi za kwake na za majirani huwa wanaropoka kama wendawazimu yaani anaanza kufunguka jambo A kisha anahamia jambo B kisha C yote hsyo hayana uhusiano
Ila uvumilivu unahitajika
Watu wengine ni wanaume wenzetu wanao ongea sana ambao hujifanya wanajua kila kitu huku maisha yakiwa yamewapiga za uso hao watu wapo vijiwe vya kahawa wao hujua kila kitu
.β
PRINCIPLE 1
The only way to get the best of an argument is to avoid it.
πKaka mimi mwenyewe ndio nampango wa kuwa taahira wa ccm na wewe unaacha kujibizana ,nitakula wapi mimi sasa mkuu?
π π€£ πNimeanza kujizuia kujibizana na haya mataahira ya CCM
KabisaNilojifunza asee ukimya ni moja kati ya psychological torture mbaya sana ukiweza kuitumia vyema dhidi ya mpinzani wako..Na mbaya zaidi inawachapa wanawake waropokaji in a hard way. Yaani mfano mtu akukosee na anajua yeye ana makosa halafu ategemee utaongea,unaamua kukausha kama hakuna kitu,, hii hali huwa inawatesa sana kisaikoljia
UKIMYA ni jibu kuu.Nilojifunza asee ukimya ni moja kati ya psychological torture mbaya sana ukiweza kuitumia vyema dhidi ya mpinzani wako..Na mbaya zaidi inawachapa wanawake waropokaji in a hard way. Yaani mfano mtu akukosee na anajua yeye ana makosa halafu ategemee utaongea,unaamua kukausha kama hakuna kitu,, hii hali huwa inawatesa sana kisaikoljia