Kuna watu huwa siwaweki blacklist, ila simu zao sipokei

KWAHIYO HUO NDO UJANJA WAKO?

Keep going tuone unafika wapi.......
Screenshot_20240328-224218.jpg
 
. Siku zote usije mwambia mtu kama huna hela, Hata kama hauna kweli..

. Mwambie nitakupa siku mbili tatu hizi.... Siku mbili tatu zikifika.. Mpe kalenda Nyingine ya siku mbili tatu zingine..

. Niamini mimi hutakuja kugombana na binadam yeyote yule.. Zaidi Zaidi utaitwa ni mswahili/mwamba tu.
Huu ujinga mimi siwezi. Kama sina ni bora niseme sina. Au kama mtu mwenyewe ni mjinga namwambia ninayo ila sikupi.

Mambo ya kuahidi uongo ni ulimbukeni mkubwa. Kwanini ujikweze wakati upo dhoof bin hali?
 
Hapana mkuu, kuna wale kila siku kazi yao ni kuomba hela tu... Wanastahili hii process.
 
. Siku zote usije mwambia mtu kama huna hela, Hata kama hauna kweli..

. Mwambie nitakupa siku mbili tatu hizi.... Siku mbili tatu zikifika.. Mpe kalenda Nyingine ya siku mbili tatu zingine..

. Niamini mimi hutakuja kugombana na binadam yeyote yule.. Zaidi Zaidi utaitwa ni mswahili/mwamba tu.
😂😂😂😂 ww inaonekana tapeli pia
 
Ukweli kuna watu wanaomba sana na ukimsaidia anajenga mazoea, binafsi nikiona hayo mazoea nablock sitaki usumbufu.
 
Mi nina formula flani:

Simu yangu, Vocha yangu, LUKU yangu...

Hanipangii mtu kupokea wala kujibu msg.
 
. Siku zote usije mwambia mtu kama huna hela, Hata kama hauna kweli..

. Mwambie nitakupa siku mbili tatu hizi.... Siku mbili tatu zikifika.. Mpe kalenda Nyingine ya siku mbili tatu zingine..

. Niamini mimi hutakuja kugombana na binadam yeyote yule.. Zaidi Zaidi utaitwa ni mswahili/mwamba tu.
Mods wekeni pinned hii 🤣🤣
 
Mods wekeni pinned hii 🤣🤣
😀😀😀,, Mkuu itumie hiyo, zaidi Zaidi kausha damu wakikuona watakuwa wanatabasam tu.

Na siku Nyingine hawezi kukuomba tena hela kwa sababu wanajua kabisa kupigwa kalenda ni lazima...( kumtia uvivu ombaomba)
 
Huu ujinga mimi siwezi. Kama sina ni bora niseme sina. Au kama mtu mwenyewe ni mjinga namwambia ninayo ila sikupi.

Mambo ya kuahidi uongo ni ulimbukeni mkubwa. Kwanini ujikweze wakati upo dhoof bin hali?
Muda mwingine hata hujikwezi, huombi wala humwambii mtu akuombe ila unakuta tu mtu kashazoea kuomba omba anakufata mwenyewe, sasa unabaki unajiuliza haya mazoea ya kuombana hela na huyu yametokea wapi.??
Watu wengine wanatuwekaga kwenye wakati mgumu sana, wengine sisi kukopeshana hatuwezi labda tukugawie tu na inategemea na mazoea tuliyonayo
 
Back
Top Bottom