Kuna watu makauzu ila huyu ana phd!!!

Kuna watu makauzu ila huyu ana phd!!!

Kuna demu alikosea number nikamtongoza akajaa akaniambia anakaa Arusha nikamtumia nauli 40,000 baada ya kuipata akasema hawezi kusafiri baba yake kamzuia, nikampiga mkwara mzito mpaka sasa ivi siamini me nilijua ndo basi tena pesa ilirudi ndani ya dakika kadhaa!
Ha ha ha,kali ya mwaka
 
Back
Top Bottom