Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #41
Ha ha ha,kali ya mwakaKuna demu alikosea number nikamtongoza akajaa akaniambia anakaa Arusha nikamtumia nauli 40,000 baada ya kuipata akasema hawezi kusafiri baba yake kamzuia, nikampiga mkwara mzito mpaka sasa ivi siamini me nilijua ndo basi tena pesa ilirudi ndani ya dakika kadhaa!