Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #41
Ha ha ha,kali ya mwakaKuna demu alikosea number nikamtongoza akajaa akaniambia anakaa Arusha nikamtumia nauli 40,000 baada ya kuipata akasema hawezi kusafiri baba yake kamzuia, nikampiga mkwara mzito mpaka sasa ivi siamini me nilijua ndo basi tena pesa ilirudi ndani ya dakika kadhaa!
mm ivi siwezi aisee nisafirishe du kisa nyapu aisee siwezi wanawake wote awa waliojaa mtaani..Alichofanya jamaa safi sana, Me kuna duu nlimtumia 76000 nauli ya kigoma to arusha, akaja kuzingua
Kama umependa je? hutomleta?mm ivi siwezi aisee nisafirishe du kisa nyapu aisee siwezi wanawake wote awa waliojaa mtaani..
Mhhh bora ulivoisamehe tuIlinitokea ila sikupata akili ya kupiga 100 kumbe ndo komesha yao
Wanawake huwa wanahuruma baada ya kama mwez aliileta bila hata kuomba nauli nikaifanyia huduma nzuri sanaMhhh bora ulivoisamehe tu
hahahaaa watu wabaya, washakutolea udelele. pengine kutokana na kile kipicha cha avatar yako siku za nyuma!Ndiyo mkuu... Una dada?
Ha haa! Watu wako macho na opportunities ila kuwekeza pesa zao ndio hawataki!hahahaaa watu wabaya, washakutolea udelele. pengine kutokana na kile kipicha cha avatar yako siku za nyuma!