Kuna watu ni bure kabisa!

Kuna watu ni bure kabisa!

Kuna Watu Ni Bure Kabisa! 😀😀
View attachment 3217001
1. Unapewa lift unamwambia mwenye gari apunguze sauti ya redio na wakati kuna ngoma yake anasikiliza! Wewe ni bure kabisa😀!

2. Unaingia kwenye ofisi ya mtu, simu inaita unapokea na kuanza kuongea tena kwa sauti ya juu, wanakukata jicho huelewi maana! Wewe ni bure kabisa😀!

3. Unakwenda kwa watu unalazimisha ulale pale na wakati wenzako sebule ndiyo chumba, usiku wanatandika vya kulalia, unawasababishia kero. Wewe ni bure kabisa!

4. Unamuomba mtu hela, amekwambia siko vizuri, lakini unaendelea kulazimisha akupe utadhani ulimuwekeza. Wewe ni bure kabisa😀!

5. Unaenda sehemu, unakuta watu wana mazungumzo yao, unakaa na kuanza kuongea mambo yako bila kujua ajenda yao. Wewe ni bure kabisa😀!

6. Unaazima gari la watu lina mafuta, unatumia unarudisha taa inawaka, unashindwa kuongeza. Wewe ni bure kabisa😀!

7. Unamkuta mtu yupo bize na laptop anafanya kazi halafu unaanza kumuongelesha. Wewe ni bure kabisa😀!

8. Unataka kumpigia mtu simu wakati wa kazi ili tu mpige stori za hapa na pale, akisema ntakucheki unasema anaring. Wewe ni bure kabisa😀!

9. Unawahi nyumbani unakuta familia inaangalia vipindi vyao kwenye TV unaondoa channel yao unaweka mpira. Wewe ni Bure kabisa!

10. Unapiga simu ya kwanza haipokelewi, simu ya pili haipokelewi, unapiga mpaka mara 20 haipokelewi. Wewe ni bure kabisa😀!

11. Unakuta missed calls kwenye simu yako, huwatafuti waliokupigia na meseji zao hujibu. Wewe ni bure kabisa😀!

12. Chakula kimekuja, bakuli lina minofu mitano ya kuku na mko watano lakini wewe unapakua minofu miwili. Wewe ni bure kabisa😀!

13. Unaamka asubuhi na kuzunguka kwa majirani zako na mswaki mdomoni! Wewe ni bure kabisa!

14. Kila unayekutana naye unaanza kumpa stori za mpira ukidhani kila mtu ni shabiki wa mpira.
Wewe ni bure kabisa!

15. Unataka watu wote wakubaliane na mawazo yako, wakikupinga unazila
UNASUSA..
. Wewe ni bure kabisa😀!

*
Hayo yote yanawezekana kutokana na aina yakichwa chako kama bufa utafosi lakini kam ni memoryQ huwezi fosi
.
 
Unakosea namba unaambiwa umekosea lkn unakomalia kupiga tu ukitukanwa unaanza kulia wewe ni bure!
 
Kuna Watu Ni Bure Kabisa! 😀😀
View attachment 3217001
1. Unapewa lift unamwambia mwenye gari apunguze sauti ya redio na wakati kuna ngoma yake anasikiliza! Wewe ni bure kabisa😀!

2. Unaingia kwenye ofisi ya mtu, simu inaita unapokea na kuanza kuongea tena kwa sauti ya juu, wanakukata jicho huelewi maana! Wewe ni bure kabisa😀!

3. Unakwenda kwa watu unalazimisha ulale pale na wakati wenzako sebule ndiyo chumba, usiku wanatandika vya kulalia, unawasababishia kero. Wewe ni bure kabisa!

4. Unamuomba mtu hela, amekwambia siko vizuri, lakini unaendelea kulazimisha akupe utadhani ulimuwekeza. Wewe ni bure kabisa😀!

5. Unaenda sehemu, unakuta watu wana mazungumzo yao, unakaa na kuanza kuongea mambo yako bila kujua ajenda yao. Wewe ni bure kabisa😀!

6. Unaazima gari la watu lina mafuta, unatumia unarudisha taa inawaka, unashindwa kuongeza. Wewe ni bure kabisa😀!

7. Unamkuta mtu yupo bize na laptop anafanya kazi halafu unaanza kumuongelesha. Wewe ni bure kabisa😀!

8. Unataka kumpigia mtu simu wakati wa kazi ili tu mpige stori za hapa na pale, akisema ntakucheki unasema anaring. Wewe ni bure kabisa😀!

9. Unawahi nyumbani unakuta familia inaangalia vipindi vyao kwenye TV unaondoa channel yao unaweka mpira. Wewe ni Bure kabisa!

10. Unapiga simu ya kwanza haipokelewi, simu ya pili haipokelewi, unapiga mpaka mara 20 haipokelewi. Wewe ni bure kabisa😀!

11. Unakuta missed calls kwenye simu yako, huwatafuti waliokupigia na meseji zao hujibu. Wewe ni bure kabisa😀!

12. Chakula kimekuja, bakuli lina minofu mitano ya kuku na mko watano lakini wewe unapakua minofu miwili. Wewe ni bure kabisa😀!

13. Unaamka asubuhi na kuzunguka kwa majirani zako na mswaki mdomoni! Wewe ni bure kabisa!

14. Kila unayekutana naye unaanza kumpa stori za mpira ukidhani kila mtu ni shabiki wa mpira.
Wewe ni bure kabisa!

15. Unataka watu wote wakubaliane na mawazo yako, wakikupinga unazila
UNASUSA..
. Wewe ni bure kabisa😀!

*
😂😂 Kazi kuongelea tabia za watu, wewe ni Bure kabisa
 
Back
Top Bottom