Ninyi mashushushu waongo hakuna wa ku scan Hiyo niliziba na namba hakuna wa kuifikia,Those photos alizoweka hapa seems authentic nime scan hata hiyo Venmo pay kaweka nimwenyewe huyo BBW size model Lakin was it necessary kuyaweka hapa? Wakija wasema mods ndo wanawauza kumbe wanajivua wenyewe nguo! Hata hiyo namba ya simu kaweka watu washaanza kuruka naye huyo demu,
Hizi za ku prove watu uwa inatokea ama mtu Korea au kapitia maisha Mgumu katoboa ukubwani,
Kujieleza sana kunapelekea watu waji expose unnecessarily, maana hata ukieleza umemla huyo Mia haimsaidii mwana JF yeyote bali inakuweka katika Hatari ya kufunua utambulisho wako
Na watu wakishajua una ugonjwa wa kutaka sifa ni rahisi wanaku provoke tu wanajua utataka kuProve wrong utakuja kwa hasira kufichua details zako zaidi.Those photos alizoweka hapa seems authentic nime scan hata hiyo Venmo pay kaweka nimwenyewe huyo BBW size model Lakin was it necessary kuyaweka hapa? Wakija wasema mods ndo wanawauza kumbe wanajivua wenyewe nguo! Hata hiyo namba ya simu kaweka watu washaanza kuruka naye huyo demu,
Hizi za ku prove watu uwa inatokea ama mtu Korea au kapitia maisha Mgumu katoboa ukubwani,
Kujieleza sana kunapelekea watu waji expose unnecessarily, maana hata ukieleza umemla huyo Mia haimsaidii mwana JF yeyote bali inakuweka katika Hatari ya kufunua utambulisho wako
Namjua huyu , hii ID naijua vyema imejiunga Jf kitambo karibu mwaka sawa na Mimi wakati najiunga ila ikapotea muda mrefu sasa imerudi tena.Hapana mshkaji sio mgeni huyu, mtonyo kweli upo kwa chenji za bongo. Hizi mbanga hajaanza leo sema aachane nazo zinamchoresha
Jamaa una akili mno, ukitaka kujua ukweli au kumjua mtu tafuta weak point yake!Na watu wakishajua una ugonjwa wa kutaka sifa ni rahisi wanaku provoke tu wanajua utataka kuProve wrong utakuja kwa hasira kufichua details zako zaidi.
We Acha watu waishi maisha yao bwana 😂😂😂😂Sasa huyu naye wakimpelekea hizi😀? Madogo bwana
Kwani huwezi eleza bila kuweka picha
Britanicca
Usiwe serious sana boss kubwaaa 😅😅Ukiona watu wanaunda timu kukupinga ina maana umegusa penyewe pale pale pale pale panapouma!!
Nawakera watu
Nini kakwambia Nina 40’s minima 30’s na lazima tuwale hawa wanaozagaaaJamaa una akili mno, ukitaka kujua ukweli au kumjua mtu tafuta weak point yake!
Jamaa nimeona Ana mapungufu yafuatayo
Hataki kudharaulika anataka kila kitu approve
Anaona anashindana na watu kumbe watu wako hapa ku chitchat tu kutuliza mawazo, mambo mengi anafanya serious wakati wengine wanamtania,
Kifupi si ujanja kuanika umemla Nani na una mpango wa kumla nani
Kwa umri wake navyodhani yuko 40’s hapaswi kuprove mambo ya nimekula huyu kama watu wa 28 huko
Britanicca
😅😅😅 Hakikaaa mkuuu nakuaminia sanaaa mzeeee babaaa nikiwa mkubwa nitataka kuwa mkaleee kama weweHapo Siko serious! Yaan nikiwa serious mbona tutakumbiana huku 😜
Busy na kazi si kupotea napitiaga nasoma soma sasa niko free hadi September ndo likizo yangu inakomaNamjua huyu , hii ID naijua vyema imejiunga Jf kitambo karibu mwaka sawa na Mimi wakati najiunga ila ikapotea muda mrefu sasa imerudi tena.
NaamMkuu kwa ushauri wangu , usijibu wanaobisha , kwa level zako kujibu panya wadogo wanaopinga nikujidogosha , wewe wapelekee tu moto , na ushushe nyuzi bwashee
Binafsi nina mashaka na afya akili ya huyu mleta mada. Kuanzisha mada ni kitu kimoja. Kushinikiza mada uliyoianzisha ipendwe na kila mchangiaji ni kitu kingine kabisaa na ni dalili ya maradhi ya akili kama obsessive compulsive disorder au bipolar disorder.Jamaa ni mgonga ulimbo , ninachoikubali Jf hauwezi kuwatapeli wote au kuwadanganya ukabaki salama humu Kuna majasusi , wafukunyuku na Wazee wa VAR lazima watakudaka tu kuwa wewe ni mchimba chumvi wa Kibaigwa.
Watu wengi walikuwa kwa mbwembwe wakina Paraboa mzee wa Uswizi , Dr Hayaland nk watu wakapelekeza mpaka wakagundua na ID zao nyingine wakakimbia JF.
Tajiri hatumii nguvu kubwa kuaminisha umma , ukiona mtu anafosi credit kwa umma ana shida mahali , mleta mada baada ya kukamatwa na mademu wa kuDownload sasa anatapatapa
Shusha nyuzi bwashee achana na porojoNaam
Wengine wanadhani nawakomoa wao wakati
Nina slogan hii
Usimdharau mtu kwa sababu tu unaona safari yako inaenda vizuri kuliko yake.
Hatuwezi kuwa sawa wote kwenye upambanaji wa maisha. Kila mmoja ana msalaba wake, ndoto zake, na watu wanao mtegemea. Wengine wanapigana kimya kimya ili familia zao zipate chakula, watoto wasome, au wazazi wapate matibabu.
Huenda unaye mdharau leo ndiye shujaa wa watu wengi ambao hawana mwingine wa kumtegemea.
Kuwa mnyenyekevu. Heshima haihitaji utajiri, na mafanikio ya kweli hayaambatani na kuwadharau wengine.
Mungu azidi kutubariki sote kwenye safari ya mapambano yetu.
Ila sasa kama umefanikiwa kufika sehemu wape update Wengine wa hamasike
Ila wao wanaiona kama vita 🙌🏼
Aendelee kupiga kazi 😂 😆Mkuu kwa ushauri wangu , usijibu wanaobisha , kwa level zako kujibu panya wadogo wanaopinga nikujidogosha , wewe wapelekee tu moto , na ushushe nyuzi bwashee
Jamaa , kanyooka bwashee ngoja na mimi nianze kupost video nakula pombe za gharama ya mishahara ya watu humu mjifanye mnaleta ngebe😅Aendelee kupiga kazi 😂 😆
Jamaa ni mgonga ulimbo , ninachoikubali Jf hauwezi kuwatapeli wote au kuwadanganya ukabaki salama humu Kuna majasusi , wafukunyuku na Wazee wa VAR lazima watakudaka tu kuwa wewe ni mchimba chumvi wa Kibaigwa.
Watu wengi walikuwa kwa mbwembwe wakina Paraboa mzee wa Uswizi , Dr Hayaland nk watu wakapelekeza mpaka wakagundua na ID zao nyingine wakakimbia JF.
Tajiri hatumii nguvu kubwa kuaminisha umma , ukiona mtu anafosi credit kwa umma ana shida mahali , mleta mada baada ya kukamatwa na mademu wa kuDownload sasa anatapatapa