Kuna watu ni washamba unajua kwanini hii ni maajabu, demu akiwa Instagram haliwi? Plus big size model wanauza hamjui

Ninyi mashushushu waongo hakuna wa ku scan Hiyo niliziba na namba hakuna wa kuifikia,

Pia mi siogopi kuwa wazi maana nshatuma kwa mods wanipe hata verification sijui wanachelewa nini maana Nataka niwe naweka live streams hapa hadi watu wakojoe dagaa πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ
 
Na watu wakishajua una ugonjwa wa kutaka sifa ni rahisi wanaku provoke tu wanajua utataka kuProve wrong utakuja kwa hasira kufichua details zako zaidi.
 
Na watu wakishajua una ugonjwa wa kutaka sifa ni rahisi wanaku provoke tu wanajua utataka kuProve wrong utakuja kwa hasira kufichua details zako zaidi.
Jamaa una akili mno, ukitaka kujua ukweli au kumjua mtu tafuta weak point yake!
Jamaa nimeona Ana mapungufu yafuatayo
Hataki kudharaulika anataka kila kitu approve
Anaona anashindana na watu kumbe watu wako hapa ku chitchat tu kutuliza mawazo, mambo mengi anafanya serious wakati wengine wanamtania,

Kifupi si ujanja kuanika umemla Nani na una mpango wa kumla nani


Kwa umri wake navyodhani yuko 40’s hapaswi kuprove mambo ya nimekula huyu kama watu wa 28 huko

Britanicca
 
Sasa huyu naye wakimpelekea hiziπŸ˜€? Madogo bwana
Kwani huwezi eleza bila kuweka picha

Britanicca
We Acha watu waishi maisha yao bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtu akiwaambia Nina hiki wanasema hana , Tajiri hana baya nataka siku moja atuwekee bando sisi wa mbweni!

Ila kwa suala la picha sasa hivi kuna technology kali picha hata uipigie wapi watu watajua Mpaka location zako ilo aachane nalo, ila za leo sijaziona
 
Nini kakwambia Nina 40’s minima 30’s na lazima tuwale hawa wanaozagaaa
 
Mkuu kwa ushauri wangu , usijibu wanaobisha , kwa level zako kujibu panya wadogo wanaopinga nikujidogosha , wewe wapelekee tu moto , na ushushe nyuzi bwashee
Naam

Wengine wanadhani nawakomoa wao wakati
Nina slogan hii
Usimdharau mtu kwa sababu tu unaona safari yako inaenda vizuri kuliko yake.

Hatuwezi kuwa sawa wote kwenye upambanaji wa maisha. Kila mmoja ana msalaba wake, ndoto zake, na watu wanao mtegemea. Wengine wanapigana kimya kimya ili familia zao zipate chakula, watoto wasome, au wazazi wapate matibabu.

Huenda unaye mdharau leo ndiye shujaa wa watu wengi ambao hawana mwingine wa kumtegemea.

Kuwa mnyenyekevu. Heshima haihitaji utajiri, na mafanikio ya kweli hayaambatani na kuwadharau wengine.

Mungu azidi kutubariki sote kwenye safari ya mapambano yetu.

Ila sasa kama umefanikiwa kufika sehemu wape update Wengine wa hamasike

Ila wao wanaiona kama vita πŸ™ŒπŸΌ
 
Binafsi nina mashaka na afya akili ya huyu mleta mada. Kuanzisha mada ni kitu kimoja. Kushinikiza mada uliyoianzisha ipendwe na kila mchangiaji ni kitu kingine kabisaa na ni dalili ya maradhi ya akili kama obsessive compulsive disorder au bipolar disorder.
 
Shusha nyuzi bwashee achana na porojo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…