Kuna watu Tanzania wamesoma sana lakini wana low IQ

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno.

Wao ndo chanzo cha kila baya, very selfish, backstabbing professionals, wezi, wanajiona wao ndo Kila KITU.

Hili kundi siku likiwa chini ya asilimia 50% hii nchi itafika mbali sana lakini tambua hilo haliwezekani kamwe hata ukifufuliwa mwaka 3500 tatakua bado third world country kuringana na Dunia na Maendeleo ya kipindi hicho.

TAtzo sio wao kuwa wengi tatzo ni roho zao wametanguliza dini mbele kwenye Kila jambo kuliko uhalisia na ushirikiano japo wao ni Imani tofauti lkn hawana tofauti na Al shabab au Al Qaeda

Nawasilisha povu ruksa lkn ndo UKWELI.
 
Imani!!!na IQ wapi na wapi mkuu!!?

Wewe unaamini nini ambacho unatumia IQ kubwa kukiamini!!?

Kama ni hao warumi wakatoliki hawatumii Imani ya kweli bali utawala was kiuchumi kuwatawala watu kupitia Sheria zao za kiuchumi ambazo wamezipenyeza kwenye dini!
Umeelewa mantiki ya uzi au unachangia tu mkuu?
 
Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno.

Wao ndo chanzo cha kila baya, very selfish, backstabbing professionals, wezi, wanajiona wao ndo Kila KITU.

Hili kundi siku likiwa chini ya asilimia 50% hii nchi itafika mbali sana lakini tambua hilo haliwezekani kamwe hata ukifufuliwa mwaka 3500 tatakua bado third world country kuringana na Dunia na Maendeleo ya kipindi hicho.

TAtzo sio wao kuwa wengi tatzo ni roho zao wametanguliza dini mbele kwenye Kila jambo kuliko uhalisia na ushirikiano japo wao ni Imani tofauti lkn hawana tofauti na Al shabab au Al Qaeda

Nawasilisha povu ruksa lkn ndo UKWELI.
Punguza hadirq mkuu sasa dini na iq wapi na wapi??😂😂😂😂😈
 
Wa kwanza ni yule naibu waziri wa afya na wa pili ni CPA
 
Back
Top Bottom