Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Umeelewa mantiki ya uzi au unachangia tu mkuu?Imani!!!na IQ wapi na wapi mkuu!!?
Wewe unaamini nini ambacho unatumia IQ kubwa kukiamini!!?
Kama ni hao warumi wakatoliki hawatumii Imani ya kweli bali utawala was kiuchumi kuwatawala watu kupitia Sheria zao za kiuchumi ambazo wamezipenyeza kwenye dini!
Tunaongelea Karne ya 21 acha stori za kaleKuna wale watu wa Dini waligawa robo ya ardhi ya Africa kwa wakoloni wao wa mashariki ya kati kwa kupewa Msahafu.
Libya,Morocco,Tunisia na Sudan zikaenda bure kabisa yenyewe Yakabaki na talawee tu.
hiyo kale inapimwa kwa nini?.Tunaongelea Karne ya 21 acha stori za kale
Ongea vya sasahiyo kale inapimwa kwa nini?.
Punguza hadirq mkuu sasa dini na iq wapi na wapi??πππππKuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno.
Wao ndo chanzo cha kila baya, very selfish, backstabbing professionals, wezi, wanajiona wao ndo Kila KITU.
Hili kundi siku likiwa chini ya asilimia 50% hii nchi itafika mbali sana lakini tambua hilo haliwezekani kamwe hata ukifufuliwa mwaka 3500 tatakua bado third world country kuringana na Dunia na Maendeleo ya kipindi hicho.
TAtzo sio wao kuwa wengi tatzo ni roho zao wametanguliza dini mbele kwenye Kila jambo kuliko uhalisia na ushirikiano japo wao ni Imani tofauti lkn hawana tofauti na Al shabab au Al Qaeda
Nawasilisha povu ruksa lkn ndo UKWELI.
Hujaelewa uziPunguza hadirq mkuu sasa dini na iq wapi na wapi??πππππ
Huwez kuelewa sababu IQ ndogoMara dini mara wamesoma afu IQ mmmhh umewaza tu kwa chuki
Mkuu ushawai fika Brunei...!!?Ukishakua na imani yoyote ya dini, automatically umekosa iq