Nani aliewaroga[emoji848][emoji1][emoji1][emoji1] Snake Generation
yaani dhambi zake ni za kiwango cha watu kipindi cha NUHU (Noah) hivyo anahisi alienda kulinajisi ktk takatifu hahahaaaaaaaaaSo umeleta mvua, sijaelewa
🤣🤣🤣🤣yaani dhambi zake ni za kiwango cha watu kipindi cha NUHU (Noah) hivyo anahisi alienda kulinajisi ktk takatifu hahahaaaaaaaaa
nilifatilia mikoa miwili ilinyesha manyunyu....ki ukweli mara nyingi krismass mvua hunyesha hata mimi nilisoma hiyo title nikafatilia ktk mikoa 2 nikaona ilinyesha hata sikufungua uzi hahaaaaa🤣🤣🤣🤣
Bora lakini maana kuna jamaa alikuja na utabiri wa ajabu ajabu tu asubuhi
Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari
Ndugu wapendwa JF! Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati! Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo! Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4 Mungu alipokuwa anasema na...www.jamiiforums.com
Km unataka kupata vile ila umekosa acha umbea upo kanisan padri anaongoza ibada ww upo busy na umbeaWewe ndo yule ulikaa nyuma kabisa na shati la kitenge na hukutoa sadaka?