Kuna watu wagumu kuelewa

Pole Sana...!


Lakini kwa kuwa uliwapa namba wewe mwenyewe na haukuwapangia idadi ya calls and texts per day na muda maalum wa kufanya hayo, ingekuwa busara kuwaeleza Muungwana ataelewa.



Kutopokea ama kutokujibu sio suluhu nzuri, mwingine anayekujali anaweza hisi uko kwenye shida ama tatizo.
 
Kabisa na ukiangalia saiv nchi yenyewe ya kutekana tekana hii
 
Ningeshangaa Mr's Tunguli usitie neno.
 
Simu za marejesho hizo. pokea tu mama wala usigope mdaiwa hafungwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…