Kuna watu wagumu kuelewa

Kuna watu wagumu kuelewa

Mbona mkiwa na shida ya pesa huwa hamtak kuwaomba ambao mnahisi ndo wanatakiwa wawasaidie mahitaje yenu,instead mnalia lia kwa mtu ambae hta hamna ukaribu ambao ww hutak kuuweka?
mi wa karibu yangu tunasaidiana sana tu
 
wasipopiga simu "Hawanitafuti ndugu zangu..." wakipiga simu "Ebo! Huyu msumbufu kweli".... Ndo dunia, rahisi sana kuelewa watu ila ngumu sana kujielewa wewe mwenyewe
kila saa ni too much
 
Huu uzi watakao usapoti asilimia kubwa ni akina dada, kundi lingine ni wale waliokata tamaa na maisha wanachojali wao ni sms za pesa tu.
Kundi lingine ni wale wenye roho mbaya akiwemo mleta sred.
Kwann unasema hvo mkuu?
 
wasipopiga simu "Hawanitafuti ndugu zangu..." wakipiga simu "Ebo! Huyu msumbufu kweli".... Ndo dunia, rahisi sana kuelewa watu ila ngumu sana kujielewa wewe mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja kanikera sasa hivi,yaani namba geni,anapiga simu halafu mi naita halo halo halo! Ye anaongea na wengine hanijibu,nawachukua sana watu wanaopiga simu halafu umepokea ye anaongea na wengine
 
Wacha kabisa,tulikuwa tunapishana na G tu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ikawa ugomvi yeye mwenyewe anataka tuongeee masaa kumi akikuta nipo busy naongea na wewe inakuwa ugomvi anakasirika inabidi nikuage shoga baadae
Aisee nashukuru umeniacha utafikiri nilikiwa na wanaume wawili lo
 
Back
Top Bottom