Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelala mara ya mwisho jumapili mchana mpaka leo sijalala tena hata dakika ila leo lazima kichwa kiwe kizitoYou are not serious, wiki???
Kwa hiyo sasa hivi unajiandaa kwenda kazini. Aisee pole sana rafikiNimelala mara ya mwisho jumapili mchana mpaka leo sijalala tena hata dakika ila leo lazima kichwa kiwe kizito
Ulizoea kawaida aseeKwa hiyo sasa hivi unajiandaa kwenda kazini. Aisee pole sana rafiki
Unajua tofauti ya "miaka 10" na "miaka kama 10 hivi"?Ulijuaje kama amekuzidi miaka 10
Hako kaugonjwa kabaya sana. Hatimaye mi nimekapatia dawa. K Vant kwa wingi.... baaaas!Yeah nasumbuliwa na Insomnia acha kabisa
Hakikisha unarudi na limbwata la kutosha tafadhaliI love you hubby
Nahic kama hii habari iko nusu hiv[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Tanga, nilipanda basi la Raha Leo. Pembeni yangu alikaa mwanaume amenizidi miaka kama 10 hivi. Nilikuja kugundua baadae ni m-Pakistan na Kiswahil aliongea kidogo sana.
Jirani yangu huyu alikaa siti ya dirishani. Alikuwa amejiandaa kweli kwa safari. Alikuwa na mfuko wa makula kula. Kwenye mfuko alikuwa na meat chops, biscuits, chocolate, juice.
Tulipifika Chalinze nilimuomba aninunulie korosho kwani yeye alikuwa amekaa dirishani, ndipo nilipogundua uwezo wake wa lugha ya Kiswahili.
Alipoanza kutoa vyakula, alinikaribisha meat chops, nilijibu asante, kabla ya kutoka nyumbani nilipiga breakfast ya nguvu na nilijua lunch ya ugali na mchunga inanisubiri kwangu mimi korosho zilitosha.
Baba huyu roho yake ilisononeka sana kwa kukataa kwangu kula chakula. Alinipa chocolate, ilibidi niichukue kumridhisha.
Aliniacha hoi, alipofungua box la juice na kuniambia nianze kunywa mimi kwani anajua akianza yeye mimi sitakunywa. Nilimuomba kuwa mimi ni mzima, nilikuwa na chupa ya maji nikamionyesha huku nikimfahamisha kuwa ninapunguza matumizi ya sukari, kwangu mimi maji ndiyo mpango mzima.
Huu ni Mfano wa gentleman ambao wamebaki wachache sana.
🙏🏾Wengine wanaweza kukuwekea madawa, unakula kitu chake alafu unalala haujitambui hapo atakuibia alafu anashukia njiani, au anajifanya kuomba msaada ashuke njiani mwenzake kazidiwa ampeleke hosptl kumbe ndo umetekwa hivyo. sio vyema sana kumpokea pokea chakula kwa usiyemjua unapokua safarini.