Kuna watu walianza kampeni za kubadili Katiba, Mungu akawajibu. Inaonekana watu hawajifunzi

Kuna watu walianza kampeni za kubadili Katiba, Mungu akawajibu. Inaonekana watu hawajifunzi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ama kwa kutumwa au kwa tabia ya uchawa, kuna watu walianza kampeni ya kubadili katiba ili Mwendazake aendelee kutawala hata baada ya muda wake kwisha.

Ni bahati mbaya watu hatujifunzi kutokana na makosa kwani tayari na wengine wameanza kurudia makosa yale yale utadhani wameongea na Mungu.

Mpaka kufikia 2025, bado Takriban miaka mitatu huku siku moja ni kubwa sana kwa maisha ya mwanadamu.

Mzee mmoja nae leo katoa kauli ya kujisahau kama ile ya kusema, "Ikulu sio ending ya wagonjwa" ambayo ilijibiwa kwa vitendo huku alieitwa mgonjwa mpaka leo anapeta.

Sioni hata logic ya kuzuia mikutano ya siasa ya vyama vya upinzani kwa hoja kuwa uchaguzi umeisha sasa tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom