Kuna watu walitakiwa watolewe kafara ili nchi iwe salama lakini wakapuuza

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
7,005
Reaction score
9,264
1. ADUI NO.1 wa SATIVA
Huyu jamaa alistahili aondolewe kabisa kwenye utumishi wa umma hasa upolisi, ananuka damu, ananuka damu, ananuka damu, ila kwakua anafanya kazi ya watawala vizuri wakaona hakuna wa kumgusa akaota pembe akidhaniataendelea sana (mtu mwenye akali timamu, SATIVA alikua wa kufa, ila Mungu kamuacha ili mefwele ATUBU) ila kazidisha'

Huyu jamaa ni mee wa kanisa wa Wasabato-kuna vitu vinachekesha sana

2. Anjelina kiziga

Dharau zilizoonyeshwa na Samia juu ya huyu mama ni kubwa sana, Polepole alisema jinsi anavoibia nchi na nia ya JPM kumtia ndani akisema hayo mbele ya Samia, Majaliwa na kamati kuu ya CCM ila chakushangaza ni kua hajawekwa pembeni bado anakata mauno kwenye kampeni za raisi, yaaani JAMBAZI

huuyu awekwe pepmbeni

3. TUNDU LISSU
Zimwi likujualo halikwili likakwisha, safari ya ukombozi inatumia watu walionusurika kufa, kelele za Lissu ni kama za chura hazizuii tembo kunywa maji, ila kwakua washauri wa raisi ni UVCCM basi walipiga move mbaya, muingize Lissu kwenye uchaguzi mpe ushindi wa asilimia 45% kwa 55% kelele zisingekuepo wangesema wanaenda kujipanga

4.POLEPOLE
huyu alishasanua mengi, ndio ameongeza chuki kwa watanzania wengi jinsi watoto wa wakuu wanavoponda raha wakati Hospitali hazina dawa, mashule hayana madawati n,k

5.Heche John
Huyu ni Haruni wa TUNDU LISSU

TANZANIA MPYA INAKARIBIA
VIVA TANZANIA
 
Dogo inakauaje huko Toronto? Justin Tradeue naskia anamdate katie Holmes
 
Back
Top Bottom