Ayo malipo amna saiv.kiwandan saiv ni above 5kWanaulipwa alfu 3 kwa siku wasipite hapa
Nayo bado ni finyuAyo malipo amna saiv.kiwandan saiv ni above 5k
Connection muhimu sana.Nimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.
Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
Marubani gani wana mishahara mikubwa mkuu?Ukiwa na CV kubwa lazima mshahara uwe mnono angalia marubani.... nk
Isee hadi nimeshtuka nikaenda kuthibitisha jamani kuna watu wanabahati na pesa nyie yaani mtu anakula billion 8 na point kwa wiki dah..Hata Ronaldo mshahara wake pale al-nasr ni Dola milion 4.1 kama tsh bilion 8 Kwa wiki wakati kuna wachezaji hata huko Ulaya mshahara wao ni Dola 50,000 Kwa wiki
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ndogo sana mkuu ila siunawajua wahindi.Nasikia kwa mo na bahkresa ni 4k/day..?Nayo bado ni finyu
Nayo inasaidia pia bahat ya mtu tu mkuu..Connection muhimu sana.
Mishahara yao inarange vipi?Marubani gani wana mishahara mikubwa mkuu?
Naaam hapo bado sijakuwekea individual enforcement utakimbia [emoji23]Isee hadi nimeshtuka nikaenda kuthibitisha jamani kuna watu wanabahati na pesa nyie yaani mtu anakula billion 8 na point kwa wiki dah..