Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Nimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.
Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu