Kuna watu wana bahati doh

Kuna watu wana bahati doh

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Nimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.

Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
 
Connection muhimu sana.
 
Hata Ronaldo mshahara wake pale al-nasr ni Dola milion 4.1 kama tsh bilion 8 Kwa wiki wakati kuna wachezaji hata huko Ulaya mshahara wao ni Dola 50,000 Kwa wiki

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Isee hadi nimeshtuka nikaenda kuthibitisha jamani kuna watu wanabahati na pesa nyie yaani mtu anakula billion 8 na point kwa wiki dah..
 
Back
Top Bottom