Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Anza na kidogo ulichonacho..alisikika inspirational speaker mmoja hivi..Robo ya huo mshahara nauhitaji pia. Nianzie wapi wakuu?
Kusema kweli hiyo kauli imeniponza hadi sitaki kuisikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza na kidogo ulichonacho..alisikika inspirational speaker mmoja hivi..Robo ya huo mshahara nauhitaji pia. Nianzie wapi wakuu?
Komaa mkuu, jiajiri hakuna Tajiri aliyeajiriwaNimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.
Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
Kinachowaumiza kule ni kodi, ndani ya billion nane unakuta billion tano yote ni kodiHata Ronaldo mshahara wake pale al-nasr ni Dola milion 4.1 kama tsh bilion 8 Kwa wiki wakati kuna wachezaji hata huko Ulaya mshahara wao ni Dola 50,000 Kwa wiki
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Endorsement sio enforcementNaaam hapo bado sijakuwekea individual enforcement utakimbia [emoji23]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Dah 🤣 ilikuaje tena mkuu?Anza na kidogo ulichonacho..alisikika inspirational speaker mmoja hivi..
Kusema kweli hiyo kauli imeniponza hadi sitaki kuisikia.
Nilikuwa nafanya biashara ya kutembeza urembo aisee nilipiga hela sana nilianza 30,000 tu nilifikisha kiasi cha hela hadi 900,000/= kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa 9 mwaka jana. Sasa mzee mimi hii biashara siipendi kuteseka juani na nikiangalia wenzangu niliosoma nao wapo vizuri sasa ili nipige hatua fasta au wenzangu wasiniache sana nikaanza biashara ya vifaa vya simu (biashara hii ndio ninayoipenda).Daah yani niliangukia pua niliishia kula mtaji vitu haviuziki stress kila siku.Dah [emoji1787] ilikuaje tena mkuu?
Story za vijiweniUkiwa na CV kubwa lazima mshahara uwe mnono angalia marubani.... nk
Kwanini mkuu tupe Somo, maana wengine tunataka tuanze na hicho kidogoAnza na kidogo ulichonacho..alisikika inspirational speaker mmoja hivi..
Kusema kweli hiyo kauli imeniponza hadi sitaki kuisikia.
Nimejibu hapo post #29Kwanini mkuu tupe Somo, maana wengine tunataka tuanze na hicho kidogo
Mfalme Suleimani aliomba hekima, mambo mengine yote ni kujilisha upepo.Nimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.
Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
Wewe kama huko kichwani kwangu tu, Lakini Mimi Nina 4.5M wazo langu ni vifaa vya simu. Changamoto ni wateja na vifaa kukaa haviuziki.Nilikuwa nafanya biashara ya kutembeza urembo aisee nilipiga hela sana nilianza 30,000 tu nilifikisha kiasi cha hela hadi 900,000/= kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa 9 mwaka jana. Sasa mzee mimi hii biashara siipendi kuteseka juani na nikiangalia wenzangu niliosoma nao wapo vizuri sasa ili nipige hatua fasta au wenzangu wasiniache sana nikaanza biashara ya vifaa vya simu (biashara hii ndio ninayoipenda).Daah yani niliangukia pua niliishia kula mtaji vitu haviuziki stress kila siku.
Makosa niliyoyafanya yalikuwa ni kuuza accessories za simu za bei ghali kwa sababu ni vya flagship smartphones sasa vitu vimebaki nimeviweka tu ndani vingine vilitoka kwa bei ya hasara.Kosa la pili mtaji ni mdogo kwa biashara kama hii.
Nilichojifunza ni kweli unaweza kuanza na mtaji mdogo lakini ni kwa biashara ya kutembeza yaani kuwatafuta na kuwafuata wateja walipo mfano majumbani.kitu cha pili nilichojifunza ni kuwa sianzishi biashara ya kukaa mahali na kusubiri wateja hata kama nitatumia mitandao ya kijamii bila na mtaji walau 2,500,00/=.
Kwa sasa nimefulia nimerudi mtaani kutembeza urembo roho inaniuma sana nakutana na watu wanaonifahamu huwa nasonononeka moyoni kwenye maisha yangu natamani vitu vikubwa lakini sioni dalili ya kuvipata na sasa hivi biashara ni ngumu sana hela niliyoipoteza sijui nitairudisha lini kitu cha muhimu sijawahi kukata tamaa kwenye mapambano yangu maishani hata nifeli vipi.
Nimeiona shukrani.Nimejibu hapo post #29
UmemalizaConnection muhimu sana.
Kila mtu na bahat yake mkuu
Very true mkuu turidhike shida tunangalia wengine.nHapo ulipo wewe,kuna watu wanaona umebarikiwa sana...
Jifunze kuridhika