Kuna watu wana bahati doh

Kuna watu wana bahati doh

Nimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.

Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
Komaa mkuu, jiajiri hakuna Tajiri aliyeajiriwa
 
Hata Ronaldo mshahara wake pale al-nasr ni Dola milion 4.1 kama tsh bilion 8 Kwa wiki wakati kuna wachezaji hata huko Ulaya mshahara wao ni Dola 50,000 Kwa wiki

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kinachowaumiza kule ni kodi, ndani ya billion nane unakuta billion tano yote ni kodi
 
Dah [emoji1787] ilikuaje tena mkuu?
Nilikuwa nafanya biashara ya kutembeza urembo aisee nilipiga hela sana nilianza 30,000 tu nilifikisha kiasi cha hela hadi 900,000/= kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa 9 mwaka jana. Sasa mzee mimi hii biashara siipendi kuteseka juani na nikiangalia wenzangu niliosoma nao wapo vizuri sasa ili nipige hatua fasta au wenzangu wasiniache sana nikaanza biashara ya vifaa vya simu (biashara hii ndio ninayoipenda).Daah yani niliangukia pua niliishia kula mtaji vitu haviuziki stress kila siku.
Makosa niliyoyafanya yalikuwa ni kuuza accessories za simu za bei ghali kwa sababu ni vya flagship smartphones sasa vitu vimebaki nimeviweka tu ndani vingine vilitoka kwa bei ya hasara.Kosa la pili mtaji ni mdogo kwa biashara kama hii.
Nilichojifunza ni kweli unaweza kuanza na mtaji mdogo lakini ni kwa biashara ya kutembeza yaani kuwatafuta na kuwafuata wateja walipo mfano majumbani.kitu cha pili nilichojifunza ni kuwa sianzishi biashara ya kukaa mahali na kusubiri wateja hata kama nitatumia mitandao ya kijamii bila na mtaji walau 2,500,00/=.
Kwa sasa nimefulia nimerudi mtaani kutembeza urembo roho inaniuma sana nakutana na watu wanaonifahamu huwa nasonononeka moyoni kwenye maisha yangu natamani vitu vikubwa lakini sioni dalili ya kuvipata na sasa hivi biashara ni ngumu sana hela niliyoipoteza sijui nitairudisha lini kitu cha muhimu sijawahi kukata tamaa kwenye mapambano yangu maishani hata nifeli vipi.
 
M
Nimesoma cv ya nehemia mchechu, yani alikuwa md Benki ya cba, Mara Baada ya hapo ni director nhc..kote mishahara ni minono million 30 kwa mwezi tangu mwaka 2014, sie wengine hata kupata internship tu ni shughuli..Ukipata kazi mshahara laki 2 kwa mwezi, au ukipata kazi yenye mshahara mnono, ukiacha ndo imetoka hiyo hupati nyingine.

Najiuliza inakuwaje kuwaje sipati jibu
Mfalme Suleimani aliomba hekima, mambo mengine yote ni kujilisha upepo.
 
Nilikuwa nafanya biashara ya kutembeza urembo aisee nilipiga hela sana nilianza 30,000 tu nilifikisha kiasi cha hela hadi 900,000/= kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa 9 mwaka jana. Sasa mzee mimi hii biashara siipendi kuteseka juani na nikiangalia wenzangu niliosoma nao wapo vizuri sasa ili nipige hatua fasta au wenzangu wasiniache sana nikaanza biashara ya vifaa vya simu (biashara hii ndio ninayoipenda).Daah yani niliangukia pua niliishia kula mtaji vitu haviuziki stress kila siku.
Makosa niliyoyafanya yalikuwa ni kuuza accessories za simu za bei ghali kwa sababu ni vya flagship smartphones sasa vitu vimebaki nimeviweka tu ndani vingine vilitoka kwa bei ya hasara.Kosa la pili mtaji ni mdogo kwa biashara kama hii.
Nilichojifunza ni kweli unaweza kuanza na mtaji mdogo lakini ni kwa biashara ya kutembeza yaani kuwatafuta na kuwafuata wateja walipo mfano majumbani.kitu cha pili nilichojifunza ni kuwa sianzishi biashara ya kukaa mahali na kusubiri wateja hata kama nitatumia mitandao ya kijamii bila na mtaji walau 2,500,00/=.
Kwa sasa nimefulia nimerudi mtaani kutembeza urembo roho inaniuma sana nakutana na watu wanaonifahamu huwa nasonononeka moyoni kwenye maisha yangu natamani vitu vikubwa lakini sioni dalili ya kuvipata na sasa hivi biashara ni ngumu sana hela niliyoipoteza sijui nitairudisha lini kitu cha muhimu sijawahi kukata tamaa kwenye mapambano yangu maishani hata nifeli vipi.
Wewe kama huko kichwani kwangu tu, Lakini Mimi Nina 4.5M wazo langu ni vifaa vya simu. Changamoto ni wateja na vifaa kukaa haviuziki.
 
Daaaa nakumbuka Marehemu Mzee wake na Nehemia.,tulitokea kuwa marafiki sana kipindi anaumwa yule mzee.
Alilazwa pale HinduMandal pamoja na Marehemu Mzee wangu.Basi nilikuwa nikienda kumuona mzee,Namsalimie nayeye,Alivutiwa na maombi tukimfanyia mzee nayeye aliomba tumuombee.
Bahati mbaya wote walilala Mauti!!
 
Back
Top Bottom