Kuna watu wana kipaji cha kudanganya aisee

Hasara Mojawapo ya kuwa na tabia ya uongo;

1. Kutokuaminika na Watu including boss wako

2. Kujidanganya mwenyewe.

3. Kutokuwa Mwaniminifu na Muadilifu

4. N.k
 
Habari za muda huu wakuu,

Juzi hapo kuna mshkaji wangu alikuja geto kunisalimia yani ni nimesoma naye shule moja itoshe kusema kwamba jamaa ni rafiki yangu sana tena tunapenda kuitana mabraza
Ila huyu jamaa ni kinara wa uongo aisee, jamaa anajua kutunga uongo sio mchezo dadek kama kubarikiwa basi amebarikiwa vya kutosha aisee

Mwamba anakudanganya mpaka unashangaa na kujiuliza "hivi huyu dogo kampiku mzee shetani ama??"

Ipo hivi juzi usiku saa 2 nilikuwa naenda zangu toilet kushusha mzigo niliokula lunch sasa wakati nipo na wakilisha somo la Excretion system mara paap TANESCO wakakata umeme si nikawa natukanwa hawa TANESCO jamaa akanisikia

Baada ya kutoka msalani nikaenda sebuleni kuungana na jamaa kupiga stori

Jamaa: Hawa wash3nz wamekata umeme mamake!! Pumbavuuuu hawa

Mimi: Sana yani

Jamaa: Ila brazaa sometimes unajitakia matatizo ujue

Mimi: Kivipi man mbona sikuelewi

Jamaa: Aah we si ulikuwa unampigia makelele jini tumaliga hukô chooni

Mimi: Tumaliga ndo nani bro au ndo kutishana hapa na giza hili

Jamaa: kumbe we bwege humjui sasa sikiliza nikwambie........ Jini tumaliga linakula watu brazaa tena lina sura mbovuuuu kudadek Yani ukiliona tu unapata heart attack na ku-dead hapohapo brazaa. Alàf nini ujue braza?

Mimi: nini?

Jamaa: Hilo jini makazi yake ni chooni alaf halipendi kelele ukipiga kelele tu unakula kofi moja matata sana mpaka choo kinakata!!

Mimi; Afu we braza acha uongo basi

Jamaa: Kama huamini nenda kapig'e miruzi uone. Haki ya mama hutorudi chooni tena. Sema ww kakuonea huruma

[emoji23][emoji23][emoji23] Kusema kweli jamaa kanitishq aisee si unajua nakuwa natengeneza picha wakati wa kusimuliwa
Daah usiku nililala kwa tabu sana aisee mpaka leo hii bado tu

Huyu fala kaniweza aisee hapa nilipo napanga kukesha JF usiku wa manane

Jamaa apewe tuzo ya muongo bora wa mwaka na mtishaji aisee
Story za jf sometimes unaweza kuhisi labda huelewi ni hizi bia unazokunywa zimeanza kukolea kumbe hata si bia.
Itakuwa story za wanafunzi wa sekondari wakiwa wameweka kambi ya kusomea paper la form 4 bila shaka.
 
Habari za muda huu wakuu,

Juzi hapo kuna mshkaji wangu alikuja geto kunisalimia yani ni nimesoma naye shule moja itoshe kusema kwamba jamaa ni rafiki yangu sana tena tunapenda kuitana mabraza
Ila huyu jamaa ni kinara wa uongo aisee, jamaa anajua kutunga uongo sio mchezo dadek kama kubarikiwa basi amebarikiwa vya kutosha aisee

Mwamba anakudanganya mpaka unashangaa na kujiuliza "hivi huyu dogo kampiku mzee shetani ama??"

Ipo hivi juzi usiku saa 2 nilikuwa naenda zangu toilet kushusha mzigo niliokula lunch sasa wakati nipo na wakilisha somo la Excretion system mara paap TANESCO wakakata umeme si nikawa natukanwa hawa TANESCO jamaa akanisikia

Baada ya kutoka msalani nikaenda sebuleni kuungana na jamaa kupiga stori

Jamaa: Hawa wash3nz wamekata umeme mamake!! Pumbavuuuu hawa

Mimi: Sana yani

Jamaa: Ila brazaa sometimes unajitakia matatizo ujue

Mimi: Kivipi man mbona sikuelewi

Jamaa: Aah we si ulikuwa unampigia makelele jini tumaliga hukô chooni

Mimi: Tumaliga ndo nani bro au ndo kutishana hapa na giza hili

Jamaa: kumbe we bwege humjui sasa sikiliza nikwambie........ Jini tumaliga linakula watu brazaa tena lina sura mbovuuuu kudadek Yani ukiliona tu unapata heart attack na ku-dead hapohapo brazaa. Alàf nini ujue braza?

Mimi: nini?

Jamaa: Hilo jini makazi yake ni chooni alaf halipendi kelele ukipiga kelele tu unakula kofi moja matata sana mpaka choo kinakata!!

Mimi; Afu we braza acha uongo basi

Jamaa: Kama huamini nenda kapig'e miruzi uone. Haki ya mama hutorudi chooni tena. Sema ww kakuonea huruma

[emoji23][emoji23][emoji23] Kusema kweli jamaa kanitishq aisee si unajua nakuwa natengeneza picha wakati wa kusimuliwa
Daah usiku nililala kwa tabu sana aisee mpaka leo hii bado tu

Huyu fala kaniweza aisee hapa nilipo napanga kukesha JF usiku wa manane

Jamaa apewe tuzo ya muongo bora wa mwaka na mtishaji aisee
Ndege wafananao huruka pamoja.
Muongo sana kama shetani ndio rafiki yako mkubwa kama braza!!
 
Back
Top Bottom