Alez von lumor
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 516
- 1,474
H
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story za jf sometimes unaweza kuhisi labda huelewi ni hizi bia unazokunywa zimeanza kukolea kumbe hata si bia.Habari za muda huu wakuu,
Juzi hapo kuna mshkaji wangu alikuja geto kunisalimia yani ni nimesoma naye shule moja itoshe kusema kwamba jamaa ni rafiki yangu sana tena tunapenda kuitana mabraza
Ila huyu jamaa ni kinara wa uongo aisee, jamaa anajua kutunga uongo sio mchezo dadek kama kubarikiwa basi amebarikiwa vya kutosha aisee
Mwamba anakudanganya mpaka unashangaa na kujiuliza "hivi huyu dogo kampiku mzee shetani ama??"
Ipo hivi juzi usiku saa 2 nilikuwa naenda zangu toilet kushusha mzigo niliokula lunch sasa wakati nipo na wakilisha somo la Excretion system mara paap TANESCO wakakata umeme si nikawa natukanwa hawa TANESCO jamaa akanisikia
Baada ya kutoka msalani nikaenda sebuleni kuungana na jamaa kupiga stori
Jamaa: Hawa wash3nz wamekata umeme mamake!! Pumbavuuuu hawa
Mimi: Sana yani
Jamaa: Ila brazaa sometimes unajitakia matatizo ujue
Mimi: Kivipi man mbona sikuelewi
Jamaa: Aah we si ulikuwa unampigia makelele jini tumaliga hukô chooni
Mimi: Tumaliga ndo nani bro au ndo kutishana hapa na giza hili
Jamaa: kumbe we bwege humjui sasa sikiliza nikwambie........ Jini tumaliga linakula watu brazaa tena lina sura mbovuuuu kudadek Yani ukiliona tu unapata heart attack na ku-dead hapohapo brazaa. Alàf nini ujue braza?
Mimi: nini?
Jamaa: Hilo jini makazi yake ni chooni alaf halipendi kelele ukipiga kelele tu unakula kofi moja matata sana mpaka choo kinakata!!
Mimi; Afu we braza acha uongo basi
Jamaa: Kama huamini nenda kapig'e miruzi uone. Haki ya mama hutorudi chooni tena. Sema ww kakuonea huruma
[emoji23][emoji23][emoji23] Kusema kweli jamaa kanitishq aisee si unajua nakuwa natengeneza picha wakati wa kusimuliwa
Daah usiku nililala kwa tabu sana aisee mpaka leo hii bado tu
Huyu fala kaniweza aisee hapa nilipo napanga kukesha JF usiku wa manane
Jamaa apewe tuzo ya muongo bora wa mwaka na mtishaji aisee
Ndege wafananao huruka pamoja.Habari za muda huu wakuu,

Sijaona mahali umeandika Kama ulinawaBaada ya kutoka msalani nikaenda sebuleni kuungana na jamaa kupiga stori
Baada ya kuskia harufu ya Samadi akaamua akuondoe Kisiasa.Jamaa: Kama huamini nenda kapig'e miruzi uone
Sio lazima niandike mzeeSijaona mahali umeandika Kama ulinawa
Baada ya kuskia harufu ya Samadi akaamua akuondoe Kisiasa.
Kama wewe tuWe na jamaa yako wote hamjitambui