Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

Duh,... waste of time!!!
Upo nyuma ya keyboard unasema wast of time mwenzako amefanya kitu hatakuja mwengine duniani athubutu kukifanya?jamaa ameshakuwa brand kuanzia sasa atagombaniwa kutangaza biashara apige hela uzeeni.

Na mkuu nikikuangalia ulichoandika hapa sidhani hata kama kwa siku unatembea km 1 kwa miguu wewe!
 
Kuna yule mdada sijui aliyekumbatia mti kwa mda mrefu akaitwa ikulu kenya, kila mtu ana makusudi yake lakini.
uko vizuri na yuko sahihi kabisa! Huyo mwanadada anaitwa Truphena Mūthoni, binti wa miaka 22 kutoka Kenya, ambaye ameweka Rekodi ya Dunia ya Guinness (Guinness World Record) kwa kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo (siku 3 kamili)

1793719882855.png




1793719952968.png



1793719972537.png




1793719993893.png
 
Wafuasi wa Mange ndio wanaweza kuamini porojo kama hizi.
"Hahaaa! Dr. Matola PhD, naona umeamua kuleta mambo ya Mange Kimambi kwenye uzi wa rekodi za dunia. Mkuu, elimu yako isikufanye uwe 'ngumbaru' wa taarifa za kimataifa.
Hizi siyo stori za udaku za Instagram; hii ni historia inayoandikwa na watu wenye uthubutu wa chuma. Karl Bushby kashikiliwa hadi jela ya Darien Gap, kaogelea Caspian Sea hadi vituo vikuu vya habari duniani vinamremba—wewe hapo na PhD yako ukitembea kutoka Mwenge hadi Posta miguu inajaa maji!
Truphena kakaribishwa Ikulu na Rais Ruto kwa kukumbatia mti. Badala ya kubeza, tuambie wewe PhD yako imekusaidia kukumbatia nini cha maana mpaka sasa? šŸ˜‚ Weka chuki pembeni, kubali matokeo kwamba kuna watu wanaishi nje ya boksi lako la fikra."
Rekodi ya Karl Bushby (Goliath Expedition) na Truphena Mūthoni ziko kwenye vitabu vya Guinness World Records, na zimeripotiwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kama BBC, Al Jazeera, na The New York Times. Karl Bushby alipowasili Uingereza juzi, amepokelewa na mamia ya watu na habari zake ziko 'live' kila mahali.
Profesa au Daktari wa falsafa (PhD) hapaswi kupinga jambo kwa hisia au mihemko ya mitandao ya kijamii, bali kwa tafiti na ushahidi (empirical evidence). Kama una ushahidi kuwa mashirika haya yote ya kimataifa yanadanganya, uweke hapa badala ya kushusha hadhi ya PhD yako mkuu. Karibu kwenye ulimwengu wa 'facts' na siyo 'porojo' za vijiweni!"
 
Mbona ana dini mpya na biblia yake nakaanzisha, ni kama wiki mbili hivi😐
akisoma vitabu 2 tuu vya mwanzo bila kutuliza akili itakuwa ni massacre. na vitabu vipo 7312 na ndio kwanza nimewapa 11
 
Back
Top Bottom