Kuna watu wana upendeleo humu

tecnohailali

Senior Member
Joined
May 15, 2017
Posts
168
Reaction score
76
Wakuu [emoji27] [emoji26] tangu juzi nimeomba ushirikiano lakini sijaona yeyote alierespond au sababu Mimi mgeni humu? Acheni hizo mambo wazee.
 
Wakuu [emoji27] [emoji26] tangu juzi nimeomba ushirikiano lakini sijaona yeyote alierespond au sababu Mimi mgeni humu? Acheni hizo mambo wazee.
Hujaeleza ushirikiano gn unao utaka...labda ueleweke...labda unataka KUMBAKA mtu...au KWENDA KIBITI wanapouliwa MAKADA wa chama....wewe jieleze unataka nn kwnza.ili upewe ushirikiano
 
Hujaeleza ushirikiano gn unao utaka...labda ueleweke...labda unataka KUMBAKA mtu...au KWENDA KIBITI wanapouliwa MAKADA wa chama....wewe jieleze unataka nn kwnza.ili upewe ushirikiano
Hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utani unavuka kiwango.
 
Soma taratibu hizo sticky utapata Maelezo yote, na chini hapo kuna Maelezo yote
 
EMBU TUKUMBUSHE KIDOGO, ,,AMBAO HATUKUWEPO JUZI....,.........USHIRIKIANO UPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…