Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haki ya mungu nitapambana sanaaMkuuu kaza na kupambana sana , muombe Mungu sana na wewe unaweza ukawa navyo hivyo.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Sony 75 inches kwa 8K?wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za jkwenye bodi unakuta wameweka zile...
Wachina wameharibu sana mambo wewe hukupaswa hata kumili nokia kitochi. Inawezekanaje unamiliki smartphone alafu unalala na kuku nyumba moja tena uvunguni?Wana jf nasmbuliwa na utitiri wa kuku wanalala chini ya kitanda changu..[emoji3064] nitumie dawa gani!?
Sa sindo hivyo smart kanipa mama mkwe [emoji16]Wachina wameharibu sana mambo wewe hukupaswa hata kumili nokia kitochi. Inawezekanaje unamiliki smartphone alafu unalala na kuku nyumba moja tena uvunguni?
JF hii unaweza kuta ana bonge ya ghorofa!Wachina wameharibu sana mambo wewe hukupaswa hata kumili nokia kitochi. Inawezekanaje unamiliki smartphone alafu unalala na kuku nyumba moja tena uvunguni?
Honestly hayo marangi rangi na mataa ya rangi kwenye ceiling wala siyafagilii. Napenda vitu simple and classic.Hayo maisha lazima niyafikie
Haina maana kuwa bei ni 8K....8K ni resolution. Kuna HD halafu ikaja 4K resolution ambayo ni Bora mara nne ya HD halafu ndio kuna hio 8K Bora mara nane ya HD.Sony 75 inches kwa 8K????
wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za jkwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua , sofa kubwa za ngozi zimevalishwaa na romantic sofa covers, tv kubwa inchi 75 8K sony na hometheatre iko pale 7channels hapo ukivaa na yale mamiwani speshoo ya kuangaliazia tv, yaani watu unawaona kama live asee inapendeza sanaa
ukiingia maliwato kule ndo unaweza usitoke dah!
jamani tutafuteni pesa kwa bidiiii
Aseh.... inaonyesha alikua anapepesa macho isivyo kawaida