funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Nzuri sana ona kila kitu cha maana inanukia vizuri na pia imewekea vitu vyote ndaniikoje mkuu??
Kenya wametuacha sana kwenye interior design
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri sana ona kila kitu cha maana inanukia vizuri na pia imewekea vitu vyote ndaniikoje mkuu??
Kuna fridge ya milango 4. Juu miwili chini miwili ni nzuri mpaka daaahMie pia juzi kati nmeingia nyumba ya hivyo..bila kusahau jiko lina makabati makali fridge milango miwili ndani limependeza hatari.
Hongereni mlofikia huko na mie napambana nifike.