100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Hakuna hela ya halali, magumashi lazima yawepo la sivyo utaishia kuwa lofa tuMwenyezi Mungu awaongozee kama maisha yao mazuri ni ya halali. Hawajamuibia mtu, kumpora au kumdhulumu yoyote yule bali ni jasho lao halali ndio limewawezesha waishi maisha hayo...
Hakuna hela ya halali,magumashi lazima yawepo la sivyo utaishia kuwa lofa tu
Mkuu utake usitake ya halali hapo labda ni %60, magumashi sio lazima ukabe au uibe,hata kwenye kukwepa kodi na mengineyo ni magumashi hayo,mwenye pesa za halali %100 hajazaliwa badoPesa yangu ni ya halali Mkuu na pia nawafahamu wengi wenye pesa ambayo ni halali kupitia jasho lao na wanazo za kutosha tu kujirusha watakavyo.
Mkuu utake usitake ya halali hapo labda ni %60, magumashi sio lazima ukabe au uibe,hata kwenye kukwepa kodi na mengineyo ni magumashi hayo,mwenye pesa za halali %100 hajazaliwa bado
Hao ulimwengu wao bado unachimbwa msingiWenye pesa halali wapo. Kama hutaki kuamini hilo ni tatizo lako. Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Hao ulimwengu wao bado unachimbwa msingi
Kama ana ghorofa na analala na kuku ndani arudishe hiyo mali kwa mganga wake.JF hii unaweza kuta ana bonge ya ghorofa!
Aisee....maana yangu anazuga tu hapa ila anaweza kuwa ana ghorofa.Kama ana ghorofa na analala na kuku ndani arudishe hiyo mali kwa mganga wake.
Tunachangia kulingana na hoja na si kwa mawazo yetu, yeye amesema analala na kuku uvunguni, jamii forum mimi naijua sana tangu 2008 niko hapa japo nabadili badili ID.Aisee....maana yangu anazuga tu hapa ila anaweza kuwa ana ghorofa.
Sawa.Tunachangia kulingana na hoja na si kwa mawazo yetu, yeye amesema analala na kuku uvunguni, jamii forum mimi naijua sana tangu 2008 niko hapa japo nabadili badili ID...
Tafuta dawa yenye abamectin mfano Akheri powder unyunizie eneo lote then after enjoy your life .Wana jf nasmbuliwa na utitiri wa kuku wanalala chini ya kitanda changu..[emoji3064] nitumie dawa gani!?
Dalili za mtu mwoga. Tafuta hela achana na habari unazowaza.Mwenyezi Mungu awaongozee kama maisha yao mazuri ni ya halali. Hawajamuibia mtu, kumpora au kumdhulumu yoyote yule bali ni jasho lao halali ndio limewawezesha waishi maisha hayo...
Ujaelewa maana ya 8K sio hela ni resolutionSony 75 inches kwa 8K????
Ataenjoy vp na jogoo linawikia uvunguni?Tafuta dawa yenye abamectin mfano Akheri powder unyunizie eneo lote then after enjoy your life .