funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Dec 3, 2021 #81 Dit000 said: ikoje mkuu?? Click to expand... Nzuri sana ona kila kitu cha maana inanukia vizuri na pia imewekea vitu vyote ndani Kenya wametuacha sana kwenye interior design
Dit000 said: ikoje mkuu?? Click to expand... Nzuri sana ona kila kitu cha maana inanukia vizuri na pia imewekea vitu vyote ndani Kenya wametuacha sana kwenye interior design
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,225 Reaction score 5,258 Dec 5, 2021 #82 Zeemadeit said: Mie pia juzi kati nmeingia nyumba ya hivyo..bila kusahau jiko lina makabati makali fridge milango miwili ndani limependeza hatari. Hongereni mlofikia huko na mie napambana nifike. Click to expand... Kuna fridge ya milango 4. Juu miwili chini miwili ni nzuri mpaka daaah
Zeemadeit said: Mie pia juzi kati nmeingia nyumba ya hivyo..bila kusahau jiko lina makabati makali fridge milango miwili ndani limependeza hatari. Hongereni mlofikia huko na mie napambana nifike. Click to expand... Kuna fridge ya milango 4. Juu miwili chini miwili ni nzuri mpaka daaah