kuna watu wanajiona wakamilifu kama wao wapo zaidi ya wengine.

Tunabishanaga vitu ambavyo havina faida hata mbishane ushinde kila mtu atabaki na imani yake.
Hakuna dini bora wala dini mbaya tuagalie tunavitu gani tunavyoweza kukaa pamoja tukavijenga tukapata maendeleo sio kubishana sijui wakristo ni bora kuliko waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…