ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huyo atakuwa ni yule aliyekuwa akiisifia nipa Rais akaamuru afukuzwe kazi.Huku kwetu Kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa NI Kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep MUNGU mwenye full dollar.ukibeep anakupigia.
ujumbe NI kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.
Sory mkuu NIPA ni nini kwa sisi tunaokaa mioni huku hatuijuiHuku kwetu Kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa NI Kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep MUNGU mwenye full dollar.ukibeep anakupigia.
ujumbe NI kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.
Gongo ya mabiboSory mkuu NIPA ni nini kwa sisi tunaokaa mioni huku hatuijui
Duu.Gongo ya mabibo
Masasi, tandahimba, newala, Lindi vijijini, liwale...utaikimbia weweDuu.
Ntwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pombe ya mabibo Ntwara
Hapana situmiagi bwasheeMasasi,tandahimba,newala,Lindi vijijini,liwale...utaikimbia wewe