ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huku kwetu kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa ni kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep Mungu mwenye full dollar. Ukibeep anakupigia.
Ujumbe ni kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.
Ujumbe ni kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.