Kuna watu wanajua kumbeep Mungu aisee

Kuna watu wanajua kumbeep Mungu aisee

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Huku kwetu kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa ni kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep Mungu mwenye full dollar. Ukibeep anakupigia.

Ujumbe ni kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.
 
Huku kwetu Kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa NI Kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep MUNGU mwenye full dollar.ukibeep anakupigia.
ujumbe NI kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.
Huyo atakuwa ni yule aliyekuwa akiisifia nipa Rais akaamuru afukuzwe kazi.
 
Huku kwetu Kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa NI Kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep MUNGU mwenye full dollar.ukibeep anakupigia.
ujumbe NI kwamba sisi vijana tusiishi maisha ya rough hasa nyakati hizi za usasa mwingi.
Sory mkuu NIPA ni nini kwa sisi tunaokaa mioni huku hatuijui
 
Back
Top Bottom