Ingekuwa ni Mimi wakati naonja mbele Yake najifanya kina sumu halafu najigaragaza Chini wakati Bado wanaendelea kushangaa nini kinaendelea nainuka nakuanza kuangua kicheko Cha hatariiKama anayeonja chakula ikulu😁😁
Hapana ni kazi ngumu sana anatumia nguvu nyingisana Anatoka jasho jingi na kuhema kama mbuzi...HIYO NDO KAZI RAHISI???!!!!