Ingekuwa ni Mimi wakati naonja mbele Yake najifanya kina sumu halafu najigaragaza Chini wakati Bado wanaendelea kushangaa nini kinaendelea nainuka nakuanza kuangua kicheko Cha hatariiKama anayeonja chakula ikuluππ
Hapana ni kazi ngumu sana anatumia nguvu nyingisana Anatoka jasho jingi na kuhema kama mbuzi...HIYO NDO KAZI RAHISI???!!!!