Kuna watu wanakula utadhani wanahamisha upande wa pili.

Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Wewe muongo. Sahani 7?? Ina maana huyo mtu ana tumbo kubwa kiasi gani. Ni tumbo la tembo au papa ama nyangumi?
 
Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Huo utumbo wake ushapanuka 😀😀😀
 
Nilishuhudia nsukuma mmja alila container 6 za wali mkuu,halafu Hana mwl mkubwa
 
Back
Top Bottom